Serikali yapigilia msumari kwenye uraia pacha

Jenerali Ulimwengu, alishanyanganywa uraia wa Tanzania wakati wa utawala wa Mkapa.

Kwa wanaojua ishu ya Jenerali Ulimwengu, ile haiwezi kuchukuliwa kama mfano kwa suala la dual citizenship. Kwa ufupi, Jenerali Ulimwengu hakuukana Utanzania wake kwa hiyari, ukubwani na kuamua kuwa raia wa Rwanda au Marekani.
 
" Serikali wana mambo ya Ajabu.Suala hili la Uraia pacha halikwepeki,Ni suala la Wakati tu.Dunia imekuwa kijiji. Inapaswa Serikali waliangalie na kuliundia sheria ambazo zitalinda maslahi ya Nchi. Kumbukeni mwanzo wa Vyama vingi,Kila mtu alisema huo ni utamaduni wa kimagharibi na si rahisi kuingia Afrika."Leo hii Mwalimu angekuwepo suala hili lngejadiliwa kwa uzito wake. Mwalimu alilizungumza suala la Uraia pacha kirefu na kukubali Mtumishi wake wa muda mrefu kupewa Uraia wa Canada,baada ya mtumishi huyo kukosa matibabu kwa sababu tu sio raia wa Nchi hiyo.Mtumishi huyo alifariki siku mbili baada ya process ya kumtafutia uraia wa Canada kuanza.
 
Wanaotaka uraia wa nchi mbili ni wakimbizi hao, uraia wa nchi 2 wa nini sasa,, pyuuu serekali iendelee kupiga bun hivo hovo, serikali mbiiilii pyuuu wakimbizi wakubwa mrudi ktk nchi zenu
 
Njabu, you need to grow up dude!

Wee Mmanga Bwan'chu'chu, or whatever your other handle happens to be, jibu hoja kaka, siyo unaleta za kuleta! Uraia wa Tanzania unakanwa na haunyang'anywi. Weka mfano hai angalau mmoja wa Mtanzania kunyang'anywa Uraia baada ya kuukana Utanzania wake na kuamua kuuchukua Uraia wa nchi nyingine kama Marekani.
 
" Serikali wana mambo ya Ajabu.Suala hili la Uraia pacha halikwepeki,Ni suala la Wakati tu.Dunia imekuwa kijiji. Inapaswa Serikali waliangalie na kuliundia sheria ambazo zitalinda maslahi ya Nchi. Kumbukeni mwanzo wa Vyama vingi,Kila mtu alisema huo ni utamaduni wa kimagharibi na si rahisi kuingia Afrika."Leo hii Mwalimu angekuwepo suala hili lngejadiliwa kwa uzito wake. Mwalimu alilizungumza suala la Uraia pacha kirefu na kukubali Mtumishi wake wa muda mrefu kupewa Uraia wa Canada,baada ya mtumishi huyo kukosa matibabu kwa sababu tu sio raia wa Nchi hiyo.Mtumishi huyo alifariki siku mbili baada ya process ya kumtafutia uraia wa Canada kuanza.

Hawa vichwa ubuyu tulioachiwa hawawezi ku-comprehend situations ambapo mtu atahitaji kuwa na Uraia wa nchi flani ili aweze ku-intergrate more freely.

It also won't make sense to revoke citizenship of a person who has his/her entire next of keens in Tanzania,them being Tanzanians.

Wakisikia uraia wa nchi mbili wana-assume from then onwards huyu bwana atakuwa analipwa mishahara miwili, akifungua account bank kila kitu kitazidishwa mara mbili sijui?
 
Unaona sasa....wewe ustaarabu huna kabisa ndo maana hata haja ya kujadiliana mambo na wewe kistaarabu haipo!

Wee Bwanchu'chu, you trying to insult my intellect and that of every single person who's following this thread, don't you? Weka utani pembeni bro, na focus on the main issue. Kuitwa Mkenya au Mhindi siyo matusi.
 
Back
Top Bottom