CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Hapo kwenye ana ilitakiwa uanze na herufi h.Ngurue ana madhara
.
Hapo kwenye ana ilitakiwa uanze na herufi h.Ngurue ana madhara
Acha uongo bwasheeNguruwe ni haramu
Wagala ?Pigo kwa Wagala.
Unadhani Yesu alikuwa mjinga aliposukimia mapepo kwa nguruwe?Hizi zote ni mbinu za masheee wanaona tunafaidi kweli waache ujinga.
Mbuzi Katoliki ni Bakora ya majeen yakiwemo jeenkashkash, maalun, mamata, maimuna ini Maimuna,Unadhani Yesu alikuwa mjinga aliposukimia mapepo kwa nguruwe?
Ni haramu kwa dini yako. Usilazimishe ma wa dini nyingine waamini unachoamini weweKwanza nguruwe ni haramu
Tutolee uroho wako hapa
Wagalatia 3:1Du jana tu nimepeleka home na tukaipiga kusali kabla kula muhimu sana.
Wagalatia 3:1Mbuzi Katoliki ni Bakora ya majeen yakiwemo jeenkashkash, maalun, mamata, maimuna ini Maimuna,
Jini Makata,
Jini Ruhani,
Jini Kabula,
Jini Kajadu,
Jini Sharifu,
Jini Jabari,
Jini bahari,
Jini Bedui,
Jini Zuhura,
Jini Zohari,
Jini Zamda n.k.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Yesu alitia mapepo mulekwanini
Wagalatia 3:1Mimi hata hii nyama iwe na Corona, nitakula hivyo hivyo. Nipo tayari kukaa Karantini
Hizi zote ni mbinu za masheee wanaona tunafaidi kweli waache ujinga.
Sema alitia Ndugu zetu mule ndio sababu tunaona uchungu kula Ndugu zetu...Yesu alitia mapepo mule
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}Wagalatia 3:1
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}
104. Enyi mlioamini msiseme 'Raa 'ina bali semeni 'Ndhurnaa' na sikilizeni; na makafiri watapata adhabu iumizayo
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili.......Sema alitia Ndugu zetu mule ndio sababu tunaona uchungu kula Ndugu zetu...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}Hahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili.......