Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Kahama kwa muda usiojulikana

Unadhani Yesu alikuwa mjinga aliposukimia mapepo kwa nguruwe?
Mbuzi Katoliki ni Bakora ya majeen yakiwemo jeenkashkash, maalun, mamata, maimuna ini Maimuna,
Jini Makata,
Jini Ruhani,
Jini Kabula,
Jini Kajadu,
Jini Sharifu,
Jini Jabari,
Jini bahari,
Jini Bedui,
Jini Zuhura,
Jini Zohari,
Jini Zamda n.k.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wagalatia 3:1
 
Msipaniki atapona tu.
Pork 2.png
 
Hapa naandikaa hii tex huku nakula nguruwe alitlyechinjwa masaa machache baada ya kuonekana kukosa nguvu.

Ni kuwa jirani yangu ngruwe wake sasa ndyo wameishaaa na walikuwa zidi ya 35. Kila siku walikuwa wakifa akaamua kuwa anawachinja akiona wanaelekea kufa na kupeleka nyama sokoni ila akifikisha sokoni nako uuzaji ni shida maana nyama ya nguruwe ipo ya kutosha sehem nyingi wanachinja wakati huu. Sasa kaamua kuchinja wote na kugawia majirani tu.
 
Wagalatia 3:1
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}

104. Enyi mlioamini msiseme 'Raa 'ina bali semeni 'Ndhurnaa' na sikilizeni; na makafiri watapata adhabu iumizayo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}

104. Enyi mlioamini msiseme 'Raa 'ina bali semeni 'Ndhurnaa' na sikilizeni; na makafiri watapata adhabu iumizayo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sema alitia Ndugu zetu mule ndio sababu tunaona uchungu kula Ndugu zetu...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili.......
 
Hahahaaa! Enyi wagalatia msio na akili.......
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ لاَ تَقُولُواْ رَاعِنَا وَقُولُواْ انظُرْنَا وَاسْمَعُوا ْوَلِلكَافِرِينَ عَذَابٌ أَلِ{104}

104. Enyi mlioamini msiseme 'Raa 'ina bali semeni 'Ndhurnaa' na sikilizeni; na makafiri watapata adhabu iumizayo

Tuwekee hii aya imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na Mtume kafundishaje

Back
Top Bottom