Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,842
- 43,298
Serikali kupitia wizara ya afya imepiga marufuku na kusitisha matangazo yote ya tiba za asili kwenye Television,Radio na mitandao mpaka watakapo pitia upya vibali vyao..!
Pia imewataka wenye matangazo kuwasilisha vibali vyao ili kupitia upya!
Pia serikali imeliagiza Baraza la tiba za asili kupitia upya vibali vyote vya watoa huduma ya tiba ya asili na pia kuwahakiki na kuwachunguza na kujiridhisha juu ya taaluma yao na vibali vyao!
Source:ITV