KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,126
- 32,817
Wataalamu wa masuala ya kiuchumi na maendeleo ya jamii....mje mtutoe tongo tongo hili ongezeko la utegemezi lina mantiki gani kiuchumi na kijamii.......??
Viwanda vya bia na vilevi vingine itabidi wabadilishe lile katazo na tahadhari pia, kuwa hairuhusiwi kuwauzia vijana wenye umri wa miaka 21 na chini yake. Kwa maana tegemezi umri huu wanakuwa wameshafunguka macho na wanapenda kujirusha sana.
Hakika mkuu......watu bado wanafurahia kuondoka kwa Magufuli......kwa hiyo kila kinachofanyika kinyume na Marehemu ni furaha tu bila kutafakari.......Akili za binadamu mwenye upeo utaiona kwenye issues kama hizi, badala ya kutaka kujua sababu ya kuongeza umri ni ipi, kinachofanyika ni kusifia hata kisichosifika.
japo kiukweli tunahitaji kuwalinda binti zetu fikiria wafanye yao kisha waonekawaida hii hapanaHilo linahusiana na bima ya afya tu.
Tusipotoshe alichosema Raisi.
Mzee ya mbege hem soma ulichoandika Kwanza kabla ya ku postWenye "negative mind" tunaonekana tu pale nyie wenye "acuity in mind" mnapogeuka kuwa mabubu na kushindwa ku "demonstrate power of your positivity" katika kuibua, kujenga, kutetea na kujibu hoja zetu dhaifu.
... abarikiwe sana Samia. Hiyo ndio maana halisi ya maendeleo ya watu na sio vitu enyi Mataga Iq finyu msio na akili. Uamuzi aliofanya Mungu March 2021 ni wa ajabu sana.
... duniani huko wasio na ajira wana posho kila mwezi kujikimu kimaisha.
Hizo posho zinatokana na wao kutokuwa na akili za kitegemezi kama hizi. Na wao wangekuwa wavivu wa kufikiri kama sisi wasingekuwa na hizo posho.... duniani huko wasio na ajira wana posho kila mwezi kujikimu kimaisha.
Wakati Dunia inabadilisha umri wa mtu kua mtu mzima kutoka 18 kuja 16,sisi tunaongeza kwenda 21.
Boresha mazingira ya kazi, elimu, bima ya afya kwa kila mtu watu wanze kujitegemea mapema.
Tusitengeneze kizazi cha wategemezi. Itafika muda mtaongeza hadi miaka 25 kua wategemezi.
... Unaishi wapi wewe?Nchi gani wanafanya hivyo?
Wana anzia age gani?
Unaleta mzaha mzee wa kidimbwini fc..
... Unaishi wapi wewe?