Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

Hizo data mnazocopy hazina maana kama Mwananchi wa kawaida Maisha yake yanazidi kuwa magumu kwa mfumuko wa bei pamoja na kutokuwa na kipato.

Ukizichunguza sana hizo figures zenu za money supply utagundua kuwa BOT inawapa banks fedha at discounted rates halafu haya mabenki yanawakopesha wafanya biashara ambao wengi wao ni wakubwa; wengi wao wasio kuwa wazawa hivyo ingawa mnasema mzunguko wa fedha umeongezeka lakini hazifiki mifukoni wa Watu wa hali ya chini badala yake hao wahindi wanazitorosha na kwenda kuzificha DUBAI na Mauritius!!! Fedha inayobaki nchini inakuwa na impact ndogo sana kwenye uchumi wa nchi ukilinganisha na Fedha iliyotolewa kutoka huko BOT.

Hivyo hizo data zenu zinakuwa ni indicative tu lakini hazina uhalisia. Wananchi wanapigika mara mbili kwanza kwa mfumuko wa bei due to increased money supply na pili kwa mifuko Yao kuwa mitupu [ uneven income distribution]!! You should analyse how the increased money in the economy is distributed amongst the population. Utashangaa kuona kuwa hizo fedha zinawanufaisha wachache sana ingawa data zenu zinaonesha kuwa fedha iliyotoka BOT zimeleta mzunguko mkubwa!

Sifieni pale panapokuwa na matokeo mazuri yanapopatikana na sio kusifia madhumuni ambayo hayazazaa matunda yaliyotarajiwa!!
Kama sio BOT data zitoke wapi?
 
Kama sio BOT data zitoke wapi?
Hajapinga kuhusu data, BOT data wanazotoa ni sahihi, anachokielezea ni impact ya kuongezeka kwa pesa katika uchumi, ambayo hiyo reason nakubaliana nayo kabisa. Kuongezeka kwa mzunguko wa pesa tungeona watu kuanzisha au kuendeleza biashara, miradi, na ongezeko la ajira na watu wangelipwa madeni yao, lakini hilo hatulioni sana sana pesa inazungukia wachache sana.
 
Litaonekana tu
 
😀😀😀
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha yaani (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%​

===
Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia 5.2 kutoka asilimia 2.1 katika kipindi kama hicho FY2020.

Ukuaji huu wa Pato la Taifa ( GDP ) unachagizwa zaidi na kuimarishwa kwa Sekta ya Utalii iliyochangia kwa asilimia 18.,Kilimo kilichochangia kwa asilimia 15.1 lakini pia kuimarishwa kwa miundombinu ya Usafirishaji,Mawasiliano na kuimarisha sekta ya fedha nchini,

Mfumuko wa bei umeendelea kusalia katika urari wa tarakimu moja ya kati ya asilimia 3 na 5 hali iliyosababishwa naupatikanaji wa Chakula cha kutosha cha zaidi ya tani laki mbili kwa mujibu wa ripoti za BOT huku ukiyumbishwa kidogo na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kulikosababishwa na janga la COVID 19.

Sote tunafahamu,Kabla ya Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan na katika mwaka wa fedha 2019|2020 Ujazi wa fedha kwa tafsiri pana zaidi ( M3 ) kwa mujibu wa BOT ulikuwa na kufikia asilimia 6.5,

Majaabu ni ripoti za robo ya tatu za Benki Kuu ya Tanzania zinaonesha ujazi huo huo wa fedha zinazomiminika ( liquid money-M3 ) umefikia asilimia 12.7 kutoka asilimia 6.5 sawa na ongezeko la karibu asilimia 100 yaani mara mbili zaidi kwa kipindi hiki kifupi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan,

Kwa maana nyepesi sasa hivi unaweza kuiandika noti ya Shilingi elfu 10 jina lako na baada ya muda mfupi ikakupata tena ikiwa na jina lako Natoa mfano tu sisemi tuchafue noti zetu tufanyeni kazi vipimo vya kitaalamu vinaonesha pesa tayari iko mtaani inamiminika ila lazima tufanye kazi kwa bidii na maarifa kwani hakuna pesa ya bure Tanzania,

Wakati huohuo Ujazi wa fedha kwa tafsiri finyu yaani ( M2 ) nayo imeongezeka kutoka asilimia 9.1 FY2019|2020 hadi asilimia 14.9 hivi sasa huku akiba|Ukwasi yaani ( M0 ) nayo ikikua kutoka asilimia 5.7 hadi asilimia 6.3 yaani kila Sekta mambo ni bambam na Rais Samia Suluhu Hassan,

Ukuaji huu wa Ujazi wa pesa yaani M3, M2 na M0 umechagizwa zaidi na Sera rafiki na madhubuti za Kiuchumi zinazosimamiwa na Rais wa awamu hii ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anayesimamia kwa Vitendo Ukuaji wa Uchumi akiufungamanisha na Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu,

==================================
View attachment 2070665

View attachment 2070666
Hongera Sana Rais wetu
 
Tanzania iko vizuri Sana kwa sasa
 
Back
Top Bottom