Serikali yaondoa baadhi ya tozo na masharti kwa wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam

Ina maana bila ya kupigiwa simu na Rais yeye alikuwa anaona sawa tu makontena zaidi ya 900 kukwama Bandarini?

Kwa ivo wanaruhusu "loose Cargo"? Yaani eti TRA inafuatilia mzigo usishushwe njiani halafu mfanyabiashara ndiye analipa 1.370,000 za alawansi ya kumlipa Afisa wa TRA kufuatilia!
 
MWANZALIPOSHAURIWA ALIKIMBILIA KUSEMA WANAOSHAURI/KULALAMIKA WAPIGA DILI NA MKAMSHANGILIA, LEO MAMBO YAMEBUMA ANABADILIKA MNAKUJA TENA KUSHANGILIA UJINGA WENU

Acha wivu
Kila kitu kinawakati.. hakuna kukutupuka awamu hii bila mengine kufanyika.

Magufuli oyeeeee
 
TATIZO LENU HAMUELEWEKI MNASIMAMIA MSIMAMO GANO, LEO MAGUFULI AKISEMA POMBE HARAMU MTAMSHANGILIA, KESHO AKIBATILISHA NA KUSEMA POMBE HALALI NAKO MNAMSHANGILIA

Wewe unayako.. embu pita huko na upupu unaoandika💀💀💀
 
Back
Top Bottom