tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Hao wengine wanajiharibia maisha yao kwa kudanganywa na kuchotwa na akili na kundi dogo la watu.
kuna kuharibu maisha zaidi ya hapa?
Hao wengine wanajiharibia maisha yao kwa kudanganywa na kuchotwa na akili na kundi dogo la watu.
Ntie ndio mnapoteza wenzenu, wanafunzi hao wamefukuzwa. Wachangieni sasa muwaingize vyuo vingine, mbona mko kimya? hata hamjui walipo.
Pinda ukizidiwa usiku hutakimbizwa India, utakwenda Muhimbili kwanza, nakuhakikishia safari ya India utaisikia ahera. Sindano moja tu ya insulin inakutosha, Mapambano yanaendelea.
Ntie ndio mnapoteza wenzenu, wanafunzi hao wamefukuzwa. Wachangieni sasa muwaingize vyuo vingine, mbona mko kimya? hata hamjui walipo.
Hao madaktari wasifikiri wao ndio wanatoa uhai. Kwanza wengi wao ni interns, sasa watajuwa kuwa Serikali ina mkono mrefu.
Hao wengine wanajiharibia maisha yao kwa kudanganywa na kuchotwa na akili na kundi dogo la watu.
We ajuza hulali tu, acha vijana wapiganie nchi yao, wewe zama zako zimekwisha usipotoshe watu hapa.Ntie ndio mnapoteza wenzenu, wanafunzi hao wamefukuzwa. Wachangieni sasa muwaingize vyuo vingine, mbona mko kimya? hata hamjui walipo.
dalali wao kafika... the best thing to do is ignoring her
Hatetewi CCM hapa, hivi kumuweka Waziri Mkuu awangoje halafu wasitokee, wana kiburi aina gani? ikiwa wanaweza kumfanyia hivi waziri mkuu, hao wagonjwa inakuwaje?
Tusubiri tuone kama ina ubavu huo, serikali yenyewe mufilisi, itapata wapi madaktari wa kuwanyonya jasho lao. Unafikiri ukimleta Mcuba hapa atakubali kukesha kwa dola 8 za kimarekani.Serekali iwatimue tu,
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... If wishes were horses, beggers could ridena kesho kama hawakwenda vituoni ndio wamejifukuzisha kazi. Namuunga mkono pinda mia kwa mia.
Tena wasipewe leseni kabisa za kufanya hizyo hapa tanzania, wakatafute pakufanyia au wakalime, hiyo kazi hawaiwezi kabisa.
Hiyo mikutano yao kwa sasa ni haramu, imeshapigwa marufuku na Serikali, Ilikuwa wakutane na Waziri Mkuu leo, kilichowafaya wasiende ni nini?
this time wachezea wanaume, madaktari sio walimu, wanaowagawa kwa laki saba na kozi za muda mfupimkuu, nina hasira na hawa makenge hawa........we acha tu.
Mkuu, ukiwa unakuja useme basi, tunataka twende simanjiro tukapige swala kadhaa hapa kati labda mwezi wa sita mvua zikishamalizika. Kibali kipo kibindoni sasa......salute.
Hiyo mikutano yao kwa sasa ni haramu, imeshapigwa marufuku na Serikali, Ilikuwa wakutane na Waziri Mkuu leo, kilichowafaya wasiende ni nini?
PM Pinda amesema mikutano ya maDr isiyo na tija ni marufuku kuanzia kesho. So hamna vya Starlight wala Bon Dosco. Kwa kifupi serikali imeamuru Hamna Mikutano ya Madaktari. Warudi kazini na mazungumzo yatapangwa baina ya Serikali na Viongozi wa Madaktari.