Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

naomba mnielewe jamani... katika hili siitetei wala siisemi serikali, mpaka nitakapothibitisha au kuthibitishiwa kuwa magari haya yamenunuliwa na serikali. Hivi ni gumu kuelewekahilo?
haueleweki ndo maana tunataka maelezo yako yanayojitosheleza!
 
naomba mnielewe jamani... katika hili siitetei wala siisemi serikali, mpaka nitakapothibitisha au kuthibitishiwa kuwa magari haya yamenunuliwa na serikali. Hivi ni gumu kuelewekahilo?
Nimakuukuu tu yamepelekwa kuoshwa tu.
 
naomba mnielewe jamani... katika hili siitetei wala siisemi serikali, mpaka nitakapothibitisha au kuthibitishiwa kuwa magari haya yamenunuliwa na serikali. Hivi ni gumu kuelewekahilo?

Mkuu Mpita Njia hii habari nimethibitishiwa na mtu wa ndani kabisa toka Toyota kama ninavyosomeka hapa chini.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba wizara ya Sheria na Katiba imenunua magari (shangingi) 20 kutoka Toyota Tanzania na delivery ilitarajiwa kukamilika wiki hii na nimeambiwa kati ya jana na leo magari 16 yameshachukuliwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu a nimeziona picha hivyo nimekubali kuwa mflisi wa serikali hii ni serikali yenyewe!!

Yani Tukipata Kiongozi wa Juu mzuri ambaye atakayeweza kusimamia hela zetu vizuri,nina uhakika chuo bure,cement na mabati yatauzwa 5000,afya bure,pension kwa wazee wote,unemployment benefit kwa wasio na ajira,2015 tufanye mbadala!
 
Kwa wale walioko dar na wana mioyo ya "kitomaso" wajaribu kupita palm residence ili wajionee wenyewe, ni jengo fulani jipya jipya lapata ghorofa 8-10 hivi limejengwa karibu na hospital ya ocean road na shirika la chakula. Liko upande wa kushoto ukitokea hoteli ya Southern Sun kama unaelekea baharini.
 
Poa mkuu, kama vipi nipe password yako niiweke maana naona wewe unatumia simu...hahahahahah

Haaaaaaaaaaa Baadae Sana!! Psw yangu ni
••••••••••••••••
Sema ukaaply post yenye pwd inaweka •
 
hii nchi imeshalaaniwa na aliilaani keshakufa kwa hyo serikali inayoyafanya ni laana .....kwa hiyo tuwavumilie mpaka laana iishe ....aisee ngoja niwahi nikapige lakhaaaaaaaaa
 
Kwa wale walioko dar na wana mioyo ya "kitomaso" wajaribu kupita palm residence ili wajionee wenyewe, ni jengo fulani jipya jipya lapata ghorofa 8-10 hivi limejengwa karibu na hospital ya ocean road na shirika la chakula. Liko upande wa kushoto ukitokea hoteli ya Southern Sun kama unaelekea baharini.

Kabisa akiwepo na Mpita Njia
 
Last edited by a moderator:
Kabisa akiwepo na Mpita Njia
Kabisa King Kong III. Kwa kuwa jua limekuchwa, keshonitahakikisha nafika hapo kuyaona kabla sijatia timu wizarani kupata taarifa zaidi yamenunuliwa kwa ajili ya nini na kwa nini wamekiuka ahadi zaoza awali kuwa serikali itaepuka ununuzi wa magri hayo mwaka huu. Nikiwa na taarifa za kutosha namna hiyo ndiyo ninaweza kuwapasha wenzangu habario zenye uhakika na zinazojitosheleza
 
Last edited by a moderator:
ngoja nipite pite pande za huko najua sikosi ka ajira........uzoefu wangu ni nyenzo tosha.
 
Back
Top Bottom