Serikali yangu naomba utafute walimu wenye division One na two ndio wafundishe shule zetu

Mwalimu mmoja wanafunzi Mia nane hata uwe na Division gani Usitegemee kufaulisha.Chumba kimoja cha Darasa wanafunzi Mia moja Usitegemee watu kufaulu hapo.Shule ina wanafunzi 1800 matundu ya choo kumi Usitegemee kufaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako waziri wangu wa elimu, Waziri wa Temisemi na viongozi wote wa serikali yangu.

Naishauri Serikali yangu iajili walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za serikali, kwasababu walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajili hao watawapatia wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za serikali kwasababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajili walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three)

Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwasababu serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Uko sahihi kabisa,ila umekosea kusema wawe na mishahara ya kawaida.Hawa wanapaswa kuwekewa cadre yao special na mishahara special mikubwa ili kuwapa moyo wa kufundisha.
Ningeshauri pia wanaopelekwa maeneo yenye mazingira magumu wapewe hardship allowance.Kiukweli waalimu wengi tulio nao sasa ni reject.Huwezi kutegemea mwalimu wa Division IV kuwa mwalimu mzuri.Sijui tulipagawa na pepo gani mpaka tukaamini kwamba waalimu wa Division IV na hapo zamani Std.VII (UPE) wanaweza kutufundishia watoto wetu.Unthinkable.
 
Mkuu aliyekudanganya kuwa division one na two zinafundisha alikupotosha sana.MTU anaweza kuwa na hayo madaraja lakini akishindwa kuhamisha maarifa toka kwake kwenda kwa mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wa shule za serikali walishakata tamaa,wanalipwa kidogo sana kulingana na wanachokifanya,so wanafundisha ilimradi wametimiza wajibu wao.

Pia wazazi wanachangia pakubwa sana katika shule za serikali,wametekeleza watoto wao,jukumu la kulea wameachiwa walimu,mitoto imekuwa haina nidhamu,mivuta bangi,micheza kamali nk,hapo utarajie shule za serikali kufanya vizuri? Hata kama utapeleka maprofesa wakafundishe shule zitaendelea kufanya vibaya!

Mitihani ya upimaji kidato cha pili huwa inadanganya sana wanafunzi,kwani kipimo cha mwanafunzi ni D mbili tu mengine hata akipata F tayari huyo kafaulu kuingia kidato cha tatu,D zenyewe huwa zinafanyiwa vikokotoo ili kuwafanya wanafunzi wengi wafaulu,kuepusha aibu ya Serikali,kila matokeo yakitoka tunaambiwa ufaulu umepanda lakini kiuhalisia elimu inaenda kuzimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako waziri wangu wa elimu, Waziri wa Temisemi na viongozi wote wa serikali yangu.

Naishauri Serikali yangu iajili walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za serikali, kwasababu walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajili hao watawapatia wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za serikali kwasababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajili walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three)

Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwasababu serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Siyo kweli kuwa shule za private zinachukua slow learners. Shule kama St. Francis au Marian Girls
 
Nakunukuu

"Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F"

Kwa hiyo kumbe wewe ni mwalimu? Ambaye hujui hata matumizi sahihi ya 'r' na 'l'! Maelezo yote uliyotoa mwenye akili angeweza kuandika mistari 10 na kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako waziri wangu wa elimu, Waziri wa Temisemi na viongozi wote wa serikali yangu.

Naishauri Serikali yangu iajili walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za serikali, kwasababu walimu hawa ndio wenye mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Ikiwaajili hao watawapatia wanafunzi wetu mbinu za kujisomea na kufaulu mitihani.

Naishauri pia Serikali yangu ijaribu kuwachukua wahitimu wa vyuo vikuu walio somea fani mbalimbali walio faulu vizuri kidato cha nne na sita (division 2 na division 1) wakafundishe shule za serikali kwasababu wanazo hizo mbinu za kujisomea na kufaulu mtihani. Wawalipe mshahara ule ule wa kawaida.

Ili serikali iweze kushindana na shule za binafsi (private) iajili walimu wenye uwezo (competent teachers), ambao kiukweli kuwapata ni ngumu sana katika kada ya ualimu, wanafunzi wengi wanao somea ualimu ni wale wenye ufaulu mdogo (division three)

Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F, kwenye somo langu, kwasababu serikali huwa inachukua wanafunzi walio faulu sana mtihani wa darasa la saba, kinacho tokea ni kwamba walimu wao ndio wanao waharibu mpaka wanafeli kwasababu walimu wengi kule hawana material kichwani.

Nitoe tu ushuhuda huu kipindi tunafundisha shule moja ya binafsi (private), tulikua tukimpata mwanafunzi anayetoka shule ya serikali kuja shule yetu, tunahesabu hiyo ni A, kwasababu mwanafunzi wa serikali huwa analewa haraka mno akipata mwalimu mwenye uwezo.

Asilimia 90 ya shule za binafsi (private) zinachukua wanafunzi wasio elewa haraka (slow learners) lakini kwasababu wana walimu wenye uwezo (competent teachers), wana wabadili wanafunzi hao wanapata one, na two. Walimu wengi wa private ni wale wenye one na two, katika mitihani yao ya olevel na advance, ni walimu wenye historia fulani ya kujituma kimasomo wakiwa shuleni wanasoma, mwanafunzi mwingine historia tu ya mwalim inatosha kumfaurisha.

Mimi nae ongea nimewahi kufundisha private, na hicho ndicho nilicho kiona. Serikali inatumia walimu walio feli mno, mwalimu aliye feli, huyo maana yake hakuwa na bidii wakati anasoma, kwa hiyo hawezi kuwavisha roho ya bidii wanafunzi wake.

Mwalimu aliye pata division one na two anazo mbinu za kufauru mtihani, mbinu za kufauru mtihani hatusomei chuoni, mbinu za kufauru mtihani anazo yule mwalimu aliye fauru mtihani huo. Tutumie walimu wenye ushuhuda.

Mwalimu aliye pata S au E ya physics au math au chemistry, au history advance huo hana mbinu za kufaulu mtihani, hivyo hawezi mshuhudia mwanafunzi akafaulu mtihani.

Wanafunzi wengine wanapo fundishwa na mwalimu aliye perform vizuri nao wanapata hamasa wanasoma kwa bidii ili wanafaulu.

Ni hayo tu.
Ahsanteni sana
Mungu ibariki Tanzania.
Tatizo mtoa mada mwenyewe ni division III kwa hiyo hata kumwelewa unahitaji jitihada za ziada!
 
We Vipi mbona Bashite ana divisheni ziro lakini anaongoza mkoa,madokta na maprofesa wote kwenye mkoa wako chini yake hii ndio ccm inaongoza nchi au Vipi.
 
Kama ujui uhalisia ni bora ukanyamaza, kama mtoto wako alikuwa shule ya Kata kapata division zero, mlaumu mwanao siyo mwalimu,

Nyie si ndio wabunge nk wakiwambia msichange hata mia mnashangilia ili hali watoto wenu wenyewe

Msichangie chakula mnapiga makofi

Msichangie mwalimu wa masomo ya sayansi anayejitolea mnapiga makofi

Mnalalamika nini sasa hapa msilaumu walimu lalamikieni kiongozi wenu wa kisiasa
 
Hata mwalimu akiwa na division 3 au 4 akienda colleges za ualimu huwa anakuwa na uwezo mkubwa wa kufundisha na maarifa pia ( Ethics and Emotional ) hii ndo system ya Tz tangu miaka ya JKN mbaka leo mfumo wa elimu haupo in form maalumu

Mfano kuna hawa vijana waliomalizaga form four 2014 wakapangiwaga UDOM na kuhamishiwa kwenye colleges tofauti tofauti nchini mbaka leo hawa vijana bado wapo vyuoni ni miaka mi 4 sasa wanafundishwa na kupikwa vizuri vipi ushawahi kusikia kuna waalimu wa secondary na msingi waliosoma miaka kama ya hawa vijana.

Ni mfumo tu wa serikali ndugu mtoa mada na tuanze na wewe mtoa mada mbona hukwenda kusomea ualimu ingawa una div 1-2 sio rahisi kijana aliyepata division one akasomee ualimu na hawawezi hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ujui uhalisia ni bora ukanyamaza, kama mtoto wako alikuwa shule ya Kara kapata division zero, mraumu mwanao siyo mwalimu,

Nyie si ndio wabunge nk wakiwambia msichange hata mia mnashangilia ili hali watoto wenu wenyewe

Msichangie chakula mnapiga makofi

Msichangie mwalimu was masomo was sayansi anayejitolea mnapiga makofi

Mnalalamika nini sasa hapa msilaumu walimu lalamikieni kiongozi wenu was siasa

Tena watoto wao wanafaulu darasa la saba shule nzima hawahoji,eti wana uwezo mkubwa!!?? Nenda siku moja shule ya sekondari ukajionee mwenyewe form1 walivyo na uwezo mdogo hasa hizi shule za kata+(vijijini).

Warudishe ule mfumo wa zamani shule inafaulisha wanafunzi wachache wa ukweli wenye akili. Darasa la nne na kidato cha pili wastani urudi.
 
Back
Top Bottom