Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
327
204
Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo" (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI)

baada ya kuwateua vijana kazaa Kama MIZENGO KAYANZA PITA PINDA na ANNA MAKINDA miezi michache iliyopita, Leo Raisi wetu mtukufu amemchagua mwingine machachali na mchapa kazi ndugu AUGUSTINE LYATONGA MLEMA kuwa mwenyekiti wa bodi ya taifa ya parole

Ama kweli kwa staili hii suruhisho la tatizo la ajira kwa vijana limepatiwa dawa

KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Uelewa ni shida kubwa. Alisema vijana wengi si kwamba wazee wasiwepo kabisa. Labda tuangalie kule NHIF aliko Makinda, wafanyakazi wengi ni vijana au wazee?
Katika uteuzi wa ma RC, DC, DAS na ma DED, wepi wengi? Vijana au wazee?
 
Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo" (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI)

baada ya kuwateua vijana kazaa Kama MIZENGO KAYANZA PITA PINDA na ANNA MAKINDA miezi michache iliyopita, Leo Raisi wetu mtukufu amemchagua mwingine machachali na mchapa kazi ndugu AUGUSTINE LYATONGA MLEMA kuwa mwenyekiti wa bodi ya taifa ya parole

Ama kweli kwa staili hii suruhisho la tatizo la ajira kwa vijana limepatiwa dawa

KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
Kama ni hivyo yeye, Mwakyembe, Magembe, Lukuvi wangepaswa kujiudhuru maana wao ni miongoni mwa wazee waliotufikisha hapa. #mvdaresalaam# #mabehewamabovu
 
Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo" (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI)

baada ya kuwateua vijana kazaa Kama MIZENGO KAYANZA PITA PINDA na ANNA MAKINDA miezi michache iliyopita, Leo Raisi wetu mtukufu amemchagua mwingine machachali na mchapa kazi ndugu AUGUSTINE LYATONGA MLEMA kuwa mwenyekiti wa bodi ya taifa ya parole

Ama kweli kwa staili hii suruhisho la tatizo la ajira kwa vijana limepatiwa dawa

KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
Vijana wenyewe hata kuandika kunawashinda kazi mtaweza?
 
Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo" (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI)

baada ya kuwateua vijana kazaa Kama MIZENGO KAYANZA PITA PINDA na ANNA MAKINDA miezi michache iliyopita, Leo Raisi wetu mtukufu amemchagua mwingine machachali na mchapa kazi ndugu AUGUSTINE LYATONGA MLEMA kuwa mwenyekiti wa bodi ya taifa ya parole

Ama kweli kwa staili hii suruhisho la tatizo la ajira kwa vijana limepatiwa dawa

KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwani amekwenda kinyume? Sasa kwani hujui kuwa kama serikali ina vijana wengi kuliko wazee?
 
Kwa hizi sifa za zis gavament usishangae mpinzani kupewa wizara huko mbele.
 
KIENDELEE KIDUMUUU KWA KWELI LAKINI ASAFISHEE WASAKATONGE WALIOKIKUMBATIA ENDAPO ATAPEWA FURSA.
LAKINI PIA ATAKAE KQBIDHIWA AJARIBU KUFANYA YAFANYWAYO NA BOSIIU
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom