Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo

Hata Mrema bado kijana sana ndiyo kabalehe mwezi uliopita tu. Maneno na matendo mbali mbali! HAPA MAJANGA TU!

Serikali yangu itakuwa na vijana wengi maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo" (JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI)

baada ya kuwateua vijana kazaa Kama MIZENGO KAYANZA PITA PINDA na ANNA MAKINDA miezi michache iliyopita, Leo Raisi wetu mtukufu amemchagua mwingine machachali na mchapa kazi ndugu AUGUSTINE LYATONGA MLEMA kuwa mwenyekiti wa bodi ya taifa ya parole

Ama kweli kwa staili hii suruhisho la tatizo la ajira kwa vijana limepatiwa dawa


KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Ni kweli kabisa nakumbuka siku moja nikiwa mwika natokea huko marangu nkamsikia Mrema akiwa kwenye mkutano anasema wanaomwita yeye ni mzee wakamuulize mke wake nilicheka sana watu wanatamani kurudisha miaka nyuma
Heshima ikurudie Mkuu. Umeshaongeza miaka ya kuishi Mkuu kwa kucheka sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom