Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

Najiuliza hadi leo kwa nini digrii ya kwanza kutolewa Tanganyika mara baada ya Uhuru ilikuwa ya sheria, sasa naanza kuelewa!
 
ukome kabisa kumfananisha Gaidi Mbowe na watu hao watakatifu.
1630419549373.png
 
Hapa kuna suala limenipiga chenga. Kumbe inawezekana wakati mwenzangu kanishitaki, na mimi ninaweza wakati huohuo kumshitaki? Ninatoka mahakamani kujibu tuhuma dhidi yangu leo, kisha kesho na yeye anaenda mahakamani kujibu tuhuma dhidi yake.
Ndiyo tujue na kujifunza kwamba mshtakiwa hana hatia hadi itakapothibitishwa hivyo mahakamani pasipo shaka. Siyo mnampiga, mnamtesa, mnamnyima haki ya dhamana, haki ya kutetewa na wakili, kumdhalilisha nk.
Hili ndilo linaangaliwa na kesi aliyofungua mshtakiwa Mbowe. Ambaye nilisikia wana-chadema wakisema IGP ametamka kwamba ni "gaidi".
Tuwe na subira. Punde ukweli utajulikana.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Hapa sijaelewa. Ninaona kama umeshindilia points kadhaa kwa pamoja bila ya kuwa na ushikamani(coherence). Kha!
 
Kwan aliefungua kesi si mbowe?
Badala ya kupambana na kesi ya ugaidi anatafuta njia za mkato kujinasua
Lazima kila kitu kiende kimenyooka, vinginevyo vizazi vijavyo vinaweza kutushangaa. Kama pamepinda panyoshwe na kama pako sawa kesi iendelee kama kawaida. Kusema taratibu za kumkamata zilikiuka katiba, hazimfutii kesi ya ugaidi, anaweza kuachiwa na hapo hapo taratibu zikafuata akakamatwa tena.
 
Back
Top Bottom