Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Nafasi 92 halafu mtu unasema kamwaga ajira? Utakua na utindio wa ubongo.
Wenye vyeti feki naoCertificate 2014....2013....2012....2011.....2010......amekwepa lawama 2015....2016 maana ni wengi. Ajira ni bomu
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya viwanda iko kazini.
Vijna wataajiriwa awamu hii haijawahi tokea
Haya sasa wahitimu Wa shahada wapatao 150000 mlioko mtaani changamkieni Fursa
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
1.0 Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara kwa Shule za Sekondari na Walimu 2,767 wa Cheti kwa Shule za Msingi.
2.0 Waombaji kwa shule za Sekondari wawe waliohitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2016 au kabla, na wale wa Shule za Msingi wawe waliohitimu mafunzo yao mwaka 2014 au kabla.
3.0 Sifa za Waombaji:
3.1 Walimu wa Sekondari:
(i) Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo moja la kufundishia au zaidi au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo moja la kufundishia au zaidi pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Masomo ya kufundishia ni kati ya Fizikia, Hisabati, Kilimo au Biashara.
(ii) Stashahada ya Ualimu katika masomo yaliyoainishwa kwenye kipengele Na. 2.1 (i) hapo juu.
(iii) Cheti cha Kidato cha Sita
(iv) Cheti cha Kidato cha Nne
3.2 Walimu wa Shule za Msingi:
(i) Astashahada ya Ualimu iliyotolewa na Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
(ii) Cheti cha Kidato cha Nne (wenye cheti Kidato cha Sita watapewa kipaumbele).
4.0 Utaratibu wa Kutuma Maombi:
(a) Maombi yatumwe kupitia Posta kwa njia ya Rejesta (EMS). Juu ya bahasha iandikwe kwa mkono "Maombi ya Kazi ya Ualimu - Sekondari au Maombi ya Kazi ya Ualimu - Msingi".
(b) Mwombaji aambatishe nakala za Vyeti vilivyothibitishwa (Certified) na Mwanasheria pamoja na "Transcript".
NB: Barua za maombi zisiwasilishwe kwa mkono. Barua zitakazowasilishwa kwa mkono hazitapokelewa.
5.0 Masuala Mengine ya Kuzingatia:
(a) Mwombaji aandike majina yake yote matatu. Kama Vyeti vina majina mawili, utaratibu wa kisheria wa kuongeza jina uzingatiwe.
(b) Mwombaji aambatishe nakala ya Cheti cha Kuzaliwa.
Mwisho wa kupokelewa maombi ni tarehe 31/08/2017.
Maombi yatumwe kwa:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S. L. P. 10,
40479 DODOMA.
Imetolewa na:
KATIBU MKUU
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

ada aliyoitumia kusoma hiyo degree itamchukua miaka zaidi ya 15 kuirudisha kutokana na mshahara wa ualimu wa primary serikalini...............kwa nini musengetumia hiyo ada kufanya mtaji tosha wa life?, au alisoma bure?Mwanangu amesomea ualimu wa primary nchini Canada ambako kule alipata degree ya primary education anaweza kuaply kufundisha primary?
Alikwenda Canada akiwa mdogo elimu ya chini ilikuwa bure chuo kwasababu hakuwa na uraia alipata mfadhili sasa anataka kurudi nyumbaniada aliyoitumia kusoma hiyo degree itamchukua miaka zaidi ya 15 kuirudisha kutokana na mshahara wa ualimu wa primary serikalini...............kwa nini musengetumia hiyo ada kufanya mtaji tosha wa life?, au alisoma bure?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa degree simshauri, aombe ualimu wa shule ya msingi tena serikalini, atakuwa desperate sana kiuhalisia, ni sawa na daktari speciality afanye kazi zahanati, atakuwa tu psychological torture............ labda kama ni private naweza toa go ahead?........ je degree aliyesoma ni unidiscipline kwamba hawezi apply carrier nyingine?Alikwenda Canada akiwa mdogo elimu ya chini ilikuwa bure chuo kwasababu hakuwa na uraia alipata mfadhili sasa anataka kurudi nyumbani
Another option ni kupata sponsor afanye masters ya kitu kingine kama sociology awe social researcherDuh kwa degree simshauri, aombe ualimu wa shule ya msingi tena serikalini, atakuwa desperate sana kiuhalisia, ni sawa na daktari speciality afanye kazi zahanati, atakuwa tu psychological torture............ labda kama ni private naweza toa go ahead?........ je degree aliyesoma ni unidiscipline kwamba hawezi apply carrier nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
That the pointAnother option ni kupata sponsor afanye masters ya kitu kingine kama sociology awe social researcher
Sio kweli 2015 vyuo vya serikali viliacha kuchukua certificate so hakuna wengiCertificate 2014....2013....2012....2011.....2010......amekwepa lawama 2015....2016 maana ni wengi. Ajira ni bomu
Sent using Jamii Forums mobile app