Serikali yamuonya Cyprian Musiba kuacha kuhusisha harakati zake na Serikali au kuwa Rais anamtuma. Musiba ajibu yupo tayari kukamatwa

Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkoani Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi lugola amemtaka C Msiba aache mara moja harakati zake za kuwachafua watu kwenye mitandao.

Ametamka kwamba hilo ni onyo la mwisho na endapo atapuuza hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
 
Wanabodi mabadiliko TISS sasa yanaonekana, Musiba apewa onyo kali Leo na kangi lugola

Kila kitu na zama zake, Sasa ni zama za Musiba.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kwamba

''Nimuonye huyu Cyprian Musiba kuacha kuhusisha harakati zake na Serikali au kuwa Rais anamtuma. Serikali hatuwezi kufanya kazi kwa kuwatuma wanaharakati kutusemea. Imefikia wakati viongozi wa dini wanaandika waraka wakidhani Serikali inabariki mambo yake.''

Bado ameichafua sana CCM, adhabu ipo pale pale labda kama sio CCM niliyokulia mimi
 
Wanabodi mabadiliko TISS sasa yanaonekana, Musiba apewa onyo kali Leo na kangi lugola

Kila kitu na zama zake, Sasa ni zama za Musiba.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kwamba

''Nimuonye huyu Cyprian Musiba kuacha kuhusisha harakati zake na Serikali au kuwa Rais anamtuma. Serikali hatuwezi kufanya kazi kwa kuwatuma wanaharakati kutusemea. Imefikia wakati viongozi wa dini wanaandika waraka wakidhani Serikali inabariki mambo yake.''

Ni hivi, Musiba anatumwa na jiwe fullstop.
 
Waziri Lugola nilikuambia acha kukamata manabii .Manabii Ni watu namba ingine sio wa kukamata hovyo hovyo kienyeji .Yule kijana nabii mahela uliyemkamata na kumuweka ndani kisa unasema kanisa lake halijasajiliwa as if wewe kazi yako kusajili watu wanaosali na kusajili miungu yao ukambeba Kama kibaka Mungu wa Manabii atakupa majibu.Your political career ndio inaelekea ukingoni.
 
Back
Top Bottom