Yesu alikuwa Mungu; huwezi toa mifano ya mesiya na binadamu; Lissu ana haki kuhoji haki zake na mamna shambulio lilivyokuwa.Yesu Kristo alikuwa mtii hadi kifo. Hata alipokaribia kufa aliwaombea wajusika kwa Mungu. "Baba Mungu uwasamehe kwani hawajui watendalo"
Kwa falsa ya Yesu Kristo, kitu pekee kitakachompa umaarufu Tundu Lissu Kwa siku zijazo ni kuwa mpole, kutokutoa tuhuma kwa mtu yeyote na kuwaombea wale waliohusika katika jaribio la Kumuua.
Kuendelea kulumbana na wahusika utaendelea kupunguza usalama wako.
Kuna kijana moja alimshambulia PAPA John2. Huyu PAPA alienda gerezani kumtembelea huyu kijana na kuongea naye. Papa alimsamehe huyu kijana.
Tundu Lissu atakua umejiwekea hazina mbinguni kama utawasamehe waliokupiga risasi.
Hili hulioni leo lakini kesho utalikiri.