moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 476
- 326
Mtu hawezi kuzuiwa kutoa damu. Shida iliyopo watoke watu kunihoji wakisindikizwa na brass band na magazeti kutoka Sinza kwenda Muhimbili hiyo ndiyo inakera watu wasiompenda na kukutajia folenia magari. BUNGE halijakataa kumhudumia, anajua taratibu. Ajaze fomu, aendenayo Muhimbil, atibiwe hapo. MOI is one of the best in the world angekuwa na akili tayari angeshapona zamani..
Hivi yule mzee wa bakora aka SUPIKAWA GOLDEN kale kaugonjwaMbowe alikataa katakata Lissu asipelekwe Muhimbili ili kufuata taratibu za matibabu nchini...Inashangaza kwa sasa wanalilia Serikali na Bunge ziingilie matibabu wakati bado wakiituhumu serikali kuhusika.
Serikali ikimuhudumia lissu ambaye matibabu yake yamekiuka taratibu za rufaa za wagonjwa nchini kwa kiasi kikubwa sana ina maana inafungulia mlango wa kila mgonjwa wa kitanzania anayehisi tatizo lake linatatuliwa nje ya nchi ataenda nje ndio baadae atake huduma za Serikali.
Hivii yule mzee wa bakora ndefu aka SUPIKAWA FISIEM.. Mjengoni kale kaugonjwa kake mliweza kumuwahisha (mwimbili) au mlipitiliza mojakwamoja APOLO?Mbowe alikataa katakata Lissu asipelekwe Muhimbili ili kufuata taratibu za matibabu nchini...Inashangaza kwa sasa wanalilia Serikali na Bunge ziingilie matibabu wakati bado wakiituhumu serikali kuhusika.
Serikali ikimuhudumia lissu ambaye matibabu yake yamekiuka taratibu za rufaa za wagonjwa nchini kwa kiasi kikubwa sana ina maana inafungulia mlango wa kila mgonjwa wa kitanzania anayehisi tatizo lake linatatuliwa nje ya nchi ataenda nje ndio baadae atake huduma za Serikali.
Sheria haijabadilika ya mwaka 2008 ilianzia 1958 Legco na iko hivyo hivyo Dunia nzima. Mgonjwa hajaza form ya maombi (kama anaumwa sana next-of-kin humjazia. Kujaza fomu si utumwa, ni taratibu za fedha financial regulations). In both cases maombi lazima yaambatishwe na cheti cha Daktari Bingwa wa hospitali ya SERIKALI. Ikishafika kwa Speaker, hupewa idhini na posho, ikielekeza aende hospitali iliyopendekezwa na Daktari Bingwa, mara nyingi ni Hospitali ya Rufaa iliyo karibu, matibabu huwa ni bure. Hospitali binafsi na za Nairobi haziruhusiwi.William hayo ni mawazo yako tu, lakini je Sheria husika ya 2008 unajua inasemaje kuhusu matibabu na stahiki za Wabunge wanapougua?
Pia Serikali yenu ina uhuru wa kupeleka muswada wa mabadiliko ya Sheria ile au vifungu vyake ili visomeke wanavyotaka awamu ya 5.
Hebu nanyi wekeni ushahidi mezani kama hoja alizosema huyo tundu la toi ni za kweli, mnafanyiana ya Chacha Wangwe halafu mnajifanya kuzuga, hiyo cdm ina wenyewe, hao wanaotaka kuinua kidole mbele ya kisusio c anatafuta kuihama dunia tuu.Wekeni ushahidi mezani kama hoja alizosema ni za uongo.
Mkuu nyamaza tu usiendelee kuongea yataamka mengi, funika kombe...... apiteHebu nanyi wekeni ushahidi mezani kama hoja alizosema huyo tundu la toi ni za kweli, mnafanyiana ya Chacha Wangwe halafu mnajifanya kuzuga, hiyo cdm ina wenyewe, hao wanaotaka kuinua kidole mbele ya kisusio c anatafuta kuihama dunia tuu.
Akili za Lumumba utazijua tuHebu nanyi wekeni ushahidi mezani kama hoja alizosema huyo tundu la toi ni za kweli, mnafanyiana ya Chacha Wangwe halafu mnajifanya kuzuga, hiyo cdm ina wenyewe, hao wanaotaka kuinua kidole mbele ya kisusio c anatafuta kuihama dunia tuu.
Kelele zinapigwa duniani kote ili tuondokane na primitive gvts karne hii ya 21Sasa kelele na povu la nini? Si waendelee kumtibia!
Bado uko Mirembe unatibiwa tu?raisi mtarajiwa amelihutubia taifa akiwa Nairobi, namungezea frustration baba jei
Tuko pamoja Big Show.Jitu la hovyo sana
Unakasirika hata ukichorwa kibonzo na masoud kipanya?
Sasa kibonzo kinakukasirisha nin?
Hovyo kabisa
Hata wewe unajua kama Lissu angeletwa muhimbili basi tusingekuwa naye leo, uamuzi ulikuwa sahihi kwa muda muafaka. Kuhusu pesa za matibabu hiyo ni haki yake na si hisani toka kwenu; mtazitoa tu.Mbowe alikataa katakata Lissu asipelekwe Muhimbili ili kufuata taratibu za matibabu nchini...Inashangaza kwa sasa wanalilia Serikali na Bunge ziingilie matibabu wakati bado wakiituhumu serikali kuhusika.
Serikali ikimuhudumia lissu ambaye matibabu yake yamekiuka taratibu za rufaa za wagonjwa nchini kwa kiasi kikubwa sana ina maana inafungulia mlango wa kila mgonjwa wa kitanzania anayehisi tatizo lake linatatuliwa nje ya nchi ataenda nje ndio baadae atake huduma za Serikali.