Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

nimekaa na kutafakari, nikagundua kuna watu wana roho mbaya sana sana kiasi cha kutamka mabaya, chuki na kejeli wakati mwanadamu mwenzao yupo kwenye mateso na shida. kupigwa risasi zile si mchezo, sifurahii kabisa kuona kuna mtanzania anamkebehi Lisu, hata kama utofauti vya vyama tusifike mbali hivyo, utu ni kitu cha kwanza kwa watu waliostaarabika.
 
2888404de3f730ac965af64263943922.jpg
 
duh tuhuma hizo, kama kweli kulikuwa na hofu ya akitibiwa muhimbili atamalizwa kwa nini alitibiwa hospitali ya dodoma? maana hospitali ya dodoma ni ya serikali na hospitali ya muhimbili ni ya serikali pia. Tena nasikia hadi katibu mkuu wa wizara ya afya alikuwa mmoja wa madaktari waliookoa mgonjwa na kumpa huduma ya dharura. Lakini kitu muhimu ni mgonjwa kupata nafuu na kupona, kwahiyo kama kwenda kenya kumesaidia ni heri, lakini sasa taratibu za rufaa zimekiukwa TL inabidi atumie gharama zake kujitibia au atumie vyanzo vingine vya pesa kugharamia matibabu, je barua ya kaka yake TL kwenda bunge kuomba bunge ligharamie matibabu imejibiwa?
Imekuuma TL kutibiwa Nrb??
Mbona huyo spika wa Bunge alitibiwa India serikali ikalipa??
Tutauona unafiki wenu safari hii yetu macho!!
 
Kuituhumu serekali kuhusika na shambulio lake ni haki yake, na hakubadilishi haki yake ya kutibiwa. Baba yako akitembea na mke wako hauwezi kukaa kimya lazima utasema, lakini hilo haliondoi nafasi yake kama baba. Kwa watawala wa kiafrika kuwatendea wapinzani wao kinyume na haki za binadamu sio jambo la ajabu. Hakuna popote Tundu Lissu ametaka hela ya mshahara wa kiongozi yoyote wa serekali ikamtibu na wala hatokaa atake hela zao.
hivi accacia wamemterekeza????
 
Kwa hivyo hiyo Serikali pia inatoa huduma za maombezi? Hahaa!

Lini wamemuombea ikiwa:-
1) Walizuia watu wasichangie damu
2) Bunge la JMT limekataa kutekeleza wajibu wake wa kumuuguza
3) Hata fulana (T-shirts) za kumtakia heri ya kupona zilipigwa marufuku. Fulani za nini?
4) Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi toka Serikali ya JMT juu ya jaribio lile haramu la kuua
5) Polisi wamekuwa kama asiyejitambua au aliyepigwa ganzi kwenye hili suala la Mh Lissu.
6) Kurugenzi za Jinai na Mashtaka pamoja na Wizara ya Mambo ya ndani hawataki "msaada" ili kufanyike uchunguzi huru

Njia ya mwongo siku zote ni fupi.
Mtu hawezi kuzuiwa kutoa damu. Shida iliyopo watoke watu kunihoji wakisindikizwa na brass band na magazeti kutoka Sinza kwenda Muhimbili hiyo ndiyo inakera watu wasiompenda na kukutajia folenia magari. BUNGE halijakataa kumhudumia, anajua taratibu. Ajaze fomu, aendenayo Muhimbil, atibiwe hapo. MOI is one of the best in the world angekuwa na akili tayari angeshapona zamani..
 
Mbona kwa miezi minne wameandika sana! Lakini sioni impact yoyote Tz tunasonga mbele tu! Mnamchosha tu huyo mgonjwa mwisho asipone kabisa!!

Mungu Ni mwema ameshapona!pole sana Mh Lisu.
 
mara serikali imehusika na shambulio! mara serikali hainihudumii!
unaweza kumfanya hata kichaa akachanganyikiwa.

The main point is...

The reason why haimpi huduma its because imehusika na shambulio...

Organise your thinking capacity
 
-CCTV Camera ziliondolewa
-Shambulio mbele ya nyumba za viongozi
-Walinzi waliondolewa
-Tangu rais atweet siku ya tukio hajasema tena
-Bunge halijaenda
-Bunge halijalipa hata senti moja ya matibabu yake
-Hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa
-Polisi wako kimya
-Wabunge wa CCM na viongozi wa serikali wanaogopa kwenda kumpa pole
-Serikali ilizuia mikusanyiko ya maombi kwa mgonjwa huyu
-Serikali ilizuia tishirts zenye picha ya mgonjwa zisivaliwe
-Serikali haijawahi kushindwa kukamata mhalifu aliyefanya uhalifu mchana
-Wauaji wa Kibiti waliokuwa wanaua usiku walikamatwa - lakini wa Lissu noooo
-Serikali ilizuia mjadala bungeni kuhusu shambulio hili

Ongezea ushahidi mwingine wa kwa nini serikali ni mhusika/Mtuhumiwa namba moja katika shambulio hili.
KWELI KIJANA UNA HOJA, KUNA HOFU KILA MAHALI
 
raisi mtarajiwa amelihutubia taifa akiwa Nairobi, namungezea frustration baba jei
Mnapenda kujifariji hivi kahutubia nini? Kunawatu bado wana msikiriza tobo maana sasa hivi akiri yake atakuwa moko zaidi
 
Ndo maana hata kwenye vyombo vya habari kwenye redion flan hv kipindi cha BBC walipoanza habari ya Lissu wakakata hicho kipande yaan
 
Pole Lissu.Risasi 38.Risasi 16 zimeingia mwilini na moja imebaki mpaka leo.
Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom