Serikali yamhamisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,aliyechakachua uchaguzi wa Meya

Wapendwa, hata hivyo Chang'a kajitahidi sana kutengeneza barabara za Arusha. Abarikiwe sana na akafanye hivyo hata huko kwa mtoto wa mkulima!
 
Ha ha ha haaah!! haya bwana...

Nilikua sijakucheki vizuri hahaha kumbe wakunyumba wa Lyamba Lya Mfipa,sie ndo wazee wa Liyumbi, Stalike, Kibaoani pale njia panda kwa Mzee Pinda na kule kote Kondamoyo, Mpimbwe, Majimoto so Katavi nzima ni yetu sisi na nafurahi kuwa mwanakatavi. Zamani tulikua na msemo wetu wa Rukwa Ruka
 
Na huku manzese unaishi kwa kulazimishwa?au ulikuja tu kuhubiri mema ya ufipani?watu wengine kwa mbwembwe!!sema tu ukweli kuwa baada ya kujua kusoma na kuandika ukagundua kuwa kule hakufai,na bila kupoteza muda ukatua hapa enzi za. Makamba.kwekwekwekwee
 
Hatimaye Serikali imempeleka Mpanda Estomih Chang'a aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,huyu ndiye aliyetumiwa na ccm kuchakachua uchaguzi wa Meya Arusha.
Hakika Serikali imekubali hoja na dai la CHADEMA la muda mrefu la kumwondoa Arusha,ni ushindi kwa watu wa Arusha,na wapenda haki wote

Je kama amehamishwa baada ya kumaliza mission aliotumwa?
 
Hatimaye Serikali imempeleka Mpanda Estomih Chang'a aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,huyu ndiye aliyetumiwa na ccm kuchakachua uchaguzi wa Meya Arusha.
Hakika Serikali imekubali hoja na dai la CHADEMA la muda mrefu la kumwondoa Arusha,ni ushindi kwa watu wa Arusha,na wapenda haki wote

Mpaka kieleweke tu!!! Na Kamuhando bado yuko Iringa? Mahakamani watafikishwa wangapi? Lile kundi lote lillomzunguka marehemu kisheiria ni lazima lilambe nondo za gerezani.
 
Back
Top Bottom