Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Serikali imemaliza mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo uliodumu kwa takriban miaka 26 ambapo itaunda chombo kitakachosimamia eneo la Loliondo ili kunusuru ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na kulinda mazingira na eneo mahsusi la mazalia ya wanyamapori, mapito na vyanzo vya maji.