Serikali Yalipa onyo Gazeti la Mtanzania

Mbona wanaliogopa gazeti lile linalotumiwa na Shekh Khalifa kueneza uchochezi na kumtuhumu mtukufu Rais kuwa anawabagua Waislamu?
Serikali Makini Inatoa Onyo/adhabu baada ya Kuprove Wrong, Inahitaji Muda Mfupi kuprove kuwa JK hakuwepo uwanjani. Kuliko Kuprove wrong Data za Sh Khalifa kwa hiyo Kuwa na subira kila kitu na wakati wake..
 
Number one

(1)TYRE.... = Ti re
(2)PURE... = Pu re..
(3)SKALEZ... = Ska lezi
(4)HOUSE... = Ho use
(5)HOLE... = Ho le...
(6)FIRE... = Fi re...
 
Kwakweli hilo gazeti linastahili onyo, raia wengi huku mtaani waliamiani kweli aliezuiwa ni JK.

Habari kama hizi ni kuwachonganisha viongozi Na kuwasababishia mkanganyiko wananchi wa kawaida.

Ndio sie wengine tulishaacha kununua magazeti yao.!
 
Mimi nilikuwa na maswali mengi sana bila majibu baada ya kusoma ile taarifa kwenye gazeti. Taarifa ilisema JK alikaa masaa 8 uwanjani.
 
Napenda niichallenge serikali. Jumamosi Tarehe 19 November 2016, Rais kikwete alikuwa Dubai mida ya saa 5 usiku akiba akiwasili na ndege ya Emirates. Sasa hakuwaje uwanjani? Serikali inabidi Iwe makini katika matembo yake
 
Kwakweli hilo gazeti linastahili onyo, raia wengi huku mtaani waliamiani kweli aliezuiwa ni JK.

Habari kama hizi ni kuwachonisha viongozi Na kuwasababishia mkanganyiko wananchi wa kawaida.

Ndio sie wengine tulishaacha kununua magazeti yao.!
Na aliyesema uongo kuwa tutapewa sukari bure tumfanyeje?
 
Back
Top Bottom