sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,719
2,000
Vichekesho,gazeti ni mali ya CCM,Raisi SSH ni mwenyekiti wa CCM.Msigwa ungewachia CCM wenyewe hilo sio tatizo la serikali.
Ila sidhani kama uongozi wa gazeti la Uhuru wamekurupuka,wako karibu sana na mikakati ya chama,sema labda hawakupewa baraka na wanye maamuzi ya chama.
 

James H

Member
May 7, 2021
43
95

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,566
2,000
hapo safi.
sheria ni msumeno, unakata mbele na nyuma.
siku nyingine tukiona chombo kingine kimefungiwa tusilalamike. hii ndio sheria.
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,820
2,000
Mbwa anamla mbwa mwenzake
Wafungiwe tuu
IMG_20210729_001251.jpeg
 

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
419
500
Napata shida kufikiri makosa yaliyofanywa na gazeti la Uhuru.
Ili ni gazeti la chama kama sijakosea.

Ni kwa ujasiri gani wanaweza kuandika taarifa za upotoshaji kwa kiwango cha Juu sana bila woga wowote au kuna kitu nyuma ya hii picha ..ngoja tusubiri... Mmmmm!!! " Magazeti mengine tieni maji"
 

Diplomat Son

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,998
2,000
Breaking news

Serikali yalifungia gazeti la Uhuru,dk chache baada ya chama kulifungia


Pia soma > News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

Kwa mbali sana nikiangalia Darubini yangu naona kuna ama Gazeti fulani au Redio fulani au Television fulani binafsi linataka Kufungiwa hivyo sasa tumeanza na Kwetu ili hata kama baadae Adhabu ikihamia Kunakolengwa kusiwe na Malalamiko ndani ya nchi na hata kule Jumuia ya Kimataifa isiseme kuwa kuwa kuna Ukandamizaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania. Ngoja tuone!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom