Serikali yalaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF)

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Serikali ya laani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF).

C-KXldtW0AA7u9Y.jpeg
 
Serikali ya laani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF).

Du! balaa, ukisoma between lines utaona maajabu. Eti anasema pande mbili zilikuwa "zikivutana". Huyu hatambui kuwa ule ulikuwa ni uvamizi na ujambazi. eti "vifaa vya wanahabari vililengwa" badala ya kusema waliporwa. Yaani ni wizi wa kutumia silaha. Au hakuona hata video ya uvamizi. mwekeeni.

Kuna kitu nimenusa hapa.
 
Kile kikao si kilikuwa cha CUF Maalim na serikali haiitambui CUF Maalim bali wanaitambua CUF Lipumba!!!! Awamu hii tutaona mambo mengi sana ya ajabu....
 
Serikali kupitia Idara ya Habari Maelezo imetoa tamko la kulaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari waliokuwepo kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF).

C-KgSEyW0AAP63-.jpg
 
hii kwel ni ajaabu, hv kulaan maana halisi ya kulaan ni nn? mbona kama naona kama maigizo, si bora huyu msemaji wa gvnt angekaa kmya tu kuliko kutuletea hadidhi za bunwasi hii inakera sana aisee, haya maigizo ya gvnt kwa raia wake wenye mlengo tofauti na kijan sijui yataisha lin
 
Serikali ya laani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF).

View attachment 500400
MUNGU WANGUUUUU.Kweli unaandika pande mbili zinazokinzana??????Watu wameingia na bunduki na kufunika nyuso unaita pande mbili zinazokinzana?
Tukiandika pande mbili zinazokinzana kwa KIBITI (POLICE VERSUS RAIA) itakuwa sahihi?
Mmekosa hata aibu ya kawaida!!!!
 
Serikali yalaani kupigwa kwa waandishi wa habari... ila kuvamia mkutano wa kisiasa hakujalaaniwa? Ina maana waandishi wasingeguswa lisingekua kosa? Kwann wacngetoa tamko la serikali kiujumla kulaani tukio zima kiujumla? Wasitufanye watoto cc, thinktank za awamu ya 5 ni empty kabisa. Wanafanya vitu utazan bado tuko in 1960's.
 
MUNGU WANGUUUUU.Kweli unaandika pande mbili zinazokinzana??????Watu wameingia na bunduki na kufunika nyuso unaita pande mbili zinazokinzana?
Tukiandika pande mbili zinazokinzana kwa KIBITI (POLICE VERSUS RAIA) itakuwa sahihi?
Mmekosa hata aibu ya kawaida!!!!

Wameandika hivyo sababu pande ya pili ni Serikali yenyewe kupitia Pro-Pesa
 
Du! balaa, ukisoma between lines utaona maajabu. Eti anasema pande mbili zilikuwa "zikivutana". Huyu hatambui kuwa ule ulikuwa ni uvamizi na ujambazi. eti "vifaa vya wanahabari vililengwa" badala ya kusema waliporwa. Yaani ni wizi wa kutumia silaha. Au hakuona hata video ya uvamizi. mwekeeni.

Kuna kitu nimenusa hapa.
Kifupi ni kwamba serikali inajitahidi kwa kila namna ku-downplay tukio hili kwa sababu inazojua yenyewe.
Kama hiyo taarifa imetoka kwa mtu aliyejitambulisha kama "Msemaji Mkuu wa Serikali" ni majanga.
 
Laana ya sirkale ni mbaya sana .Lazima waliokinzanisha mkutano waokote makopo.Hahahahaaa.Badala ya kuwakamata na kuwafungia kabatini wanalaaniwa tu?Kuna shida sehemu.Kwani hawafahamiki?
 
Back
Top Bottom