Serikali yakiri kudaiwa Shilingi Bilioni 105 na wakulima wakubwa wa Korosho

Uzuri zimeanza kuuzwa kwa wingiiiii

T&T kampuni ya Vietnam ipo ktk mchakato wa kununua. Stori hizi tumezisikia sana hata hii kampuni inabidi tuvute subira labda safari hii itakuwa kweli mnunuzi kununua korosho na kuzilipia.

bizhub.vn › corporate-news › tt-gro...
T&T Group to import cashews from Tanzania - bizhub.vn

6 Aug 2019 · T&T Group to import cashews from Tanzania. The T&T Group, a Vietnamese industrial, real estate and finance conglomerate, has signed a contract to purchase 176,000 tonnes of Tanzanian raw cashews from the 2018 season with Tanzania's Cereals and Other Produce Board.
It is expected that the first raw cashew shipments from Tanzania to Viet Nam will occur in September 2019.
 
10 Nov 2018
Rais Magufuli amesema hahitaji magari ya wafanyabiashara wengine yafanye kazi ya kusomba korosho zitakazonunuliwa na serikali.

Mh. Rais John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi, wakulima na taifa kwa ujumla kuwa “Pesa za kununua korosho zote zaidi ya tani laki mbili zipo na tumeziweka standby.”
 
Jamani. Walijisifia wana hela za kununua Korosho zote. Sasa kiko wapi? JPM nakumbuka alivyomuaibisha Majaliwa. Baada ya Majaliwa kusema kapata makampuni ya kununua Korosho.
Ila nadhani Magufuli anapaswa kupimwa akili.
Inasikitisha mpaka sasa hivi wakulima hawajalipwa ilhali Serekale ilisema ina mahela.
Dadangu,waswahili walisema..ukionwa utupu,unachutama..sio lazima mwonaji aone vyote..Khaa!! nawe awee..anchi dachi...
 
Yale yalikuwa maneno yakuwafurahisha UVCCM wapige makofi na vigelegele
 
Jamani. Walijisifia wana hela za kununua Korosho zote. Sasa kiko wapi? JPM nakumbuka alivyomuaibisha Majaliwa. Baada ya Majaliwa kusema kapata makampuni ya kununua Korosho.
Ila nadhani Magufuli anapaswa kupimwa akili.
Inasikitisha mpaka sasa hivi wakulima hawajalipwa ilhali Serekale ilisema ina mahela.
Weye nakutafuta kwanini unitukanie Rais wangu
 
10 Nov 2018
Rais Magufuli amesema hahitaji magari ya wafanyabiashara wengine yafanye kazi ya kusomba korosho zitakazonunuliwa na serikali.

Mh. Rais John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi, wakulima na taifa kwa ujumla kuwa “Pesa za kununua korosho zote zaidi ya tani laki mbili zipo na tumeziweka standby.”

Huyu jiwe tangu aingie madarakani anacheza moves zilizo clear anti-business. TUVUMILIE TU MAANA TULIAMBIWA TUTALIMIA MENO.
 
10 Nov 2018
Rais Magufuli amesema hahitaji magari ya wafanyabiashara wengine yafanye kazi ya kusomba korosho zitakazonunuliwa na serikali.

Mh. Rais John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi, wakulima na taifa kwa ujumla kuwa “Pesa za kununua korosho zote zaidi ya tani laki mbili zipo na tumeziweka standby.”
Hahah technology haidanganyi aisee.
 
JPM ni big mistake kwa nchi, natumaini wahusika wameliona hilo, 2015 tulichagua wetu wao wakapindua matokea, sasa waliyempa ame 'screw up' vibaya mno, 2020 watuachie tuchague wenyewe.
Hivi kapatia wapi kwemye siasa, uhuru wa habari , mipango ya maendeleo na vipaumnele vyake, mafisadi na ufisadi, wateule wake kama mawaziri wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, au watemdaji wa ngazi mbali mbali Mm sijui najari u kutagufuta nadhani eneo la miradi ya ujenzi japo si kwa leo
 
Back
Top Bottom