pia alikuwa Team Lowassa , ikumbukwe kwamba pamoja na Lowassa kurudi ccm lakini wote waliomuunga mkono bado wanasota magerezani , wamo watu wa Kitengo wale waliotoa siri ya jiwe kuambulia kura mil 3 unusu , wako Keko mwaka wa 4 sasa .Lkn zile mbio za wabunge DDM alizichangia sana tena sana
Ila bwana mbn hatuko serious yaani malinzi anakatiwa Rufaa ili iweje?? Vipi kuhusu yule mchina aliyeua tembo zaidi ya 50, halafu faini kapewa ya kishikaji tu ...jebu serikali iliangalie kwa umakini la mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
pia alikuwa Team Lowassa , ikumbukwe kwamba pamoja na Lowassa kurudi ccm lakini wote waliomuunga mkono bado wanasota magerezani , wamo watu wa Kitengo wale waliotoa siri ya jiwe kuambulia kura mil 3 unusu , wako Keko mwaka wa 4 sasa .
Huyu Malinzi ziara ya kwanza baada ya kuupata urais wa TFF alienda kwenye ofisi binafsi ya Lowassa , bado haijafahamika alienda kufanya nini .
Malinzi kukimbilia ofisini kwa Lowassa alijua Lowassa ndio angekuwa president, hivyo akaenda kujitambulisha kwake, hakujua hii nchi imejaa visa vingi kwenye chaguzi zake. Hata hili la kuwekwa ndani ilikuwa ni kumshikisha adabu tu, wenye mamlaka kuonesha wana nguvu.pia alikuwa Team Lowassa , ikumbukwe kwamba pamoja na Lowassa kurudi ccm lakini wote waliomuunga mkono bado wanasota magerezani , wamo watu wa Kitengo wale waliotoa siri ya jiwe kuambulia kura mil 3 unusu , wako Keko mwaka wa 4 sasa .
Huyu Malinzi ziara ya kwanza baada ya kuupata urais wa TFF alienda kwenye ofisi binafsi ya Lowassa , bado haijafahamika alienda kufanya nini .
Una uhakika na makosa waliyopatikana nayo ni ya uhujumu uchumi au ufisadi au unajiropokea tu. Hawajakutwa na kosa kama hilo hivyo sioni Sheria kama udhaifu. Acha chuki zisizokuwa na msingi. Watu wanateswa Kwa makosa ya kubambikiana tuTatizo sio Malinzi tatizo ni sheria zetu mbovu.
Yaani makosa ya uhujumu uchumi wa mamilioni faini yake laki 5? are we serius kweli?
Mwanasheria mkuu yupo ofisi, jaji mkuu offisini, waziri wa katiba na sheria yupo ofisini.
Yaani fine haitoshi hata garama ya uendeshaji wa kesi! Serikali inawatumia mawakili na kuwalipa pesa nyingi wakati mwisho wa hukumu ni hasara tupu bora kama hatuna uhakika wa kushughulikia ufisadi bora kuwaacha tu maana hakuna nia njema.
Hata rufaa ni michakato ya mahakama ili haki siyo itendeke bali ionekane ikitendeka.Aah acha wapunzike watu,waheshimu maamuzi ya mahakama
Kwa hiyo judge mkuu abadirishe sheria kinyemela?Tatizo sio Malinzi tatizo ni sheria zetu mbovu.