Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Kulikuwa na uvumi kuwa Serikali imesitisha ajira za walimu wa masomo ya Sanaa na Biashara kwa mwaka wa fesha 2015/2016 kwa madai kuwa walimu hao wanatosha na kwamba kuna ziada ya walimu zaidi ya 7,000 idadi ambayo imepatikana kutokana na utafiti uliofanywa na TAMISEMI.
Hata hivyo, Serikali imekanusha madai hayo na kuwataka wananchi wayapuuze kwani hakuna ukweli wowote
Hata hivyo, Serikali imekanusha madai hayo na kuwataka wananchi wayapuuze kwani hakuna ukweli wowote