Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

Wananchi wamethibitisha mbele ya Mkuu wa Mkoa kuwa huo ugonjwa upo na umeua watu kadhaa ( taarifa ya habari ITV saa 2 usiku 08/02/2021)
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika...
Habari saa mbili.

Wananchi , mbele ya Mkuu wa Mkoa, wamethibitisha kuwepo ugonjwa huo na kusema toka mwaka 1996, wameshakufa watu 34 ambao wanafahamika, ikiwa ni pamoja na mwalimu wa sekondari.

Mama Dr Gwajima , mpira uko kwako!
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Leo ameamuru wote wale wanaotapika damu wapelekwe Mbeya kutibiwa! Inakuwaje aliyesimamishwa kazi na ITV bado haijachukuliwa hatua.
Chanzo: ITV na STAR TV.
 
Habari saa mbili.
Wananchi , mbele ya Mkuu wa Mkoa, wamethibitisha kuwepo ugonjwa huo na kusema toka mwaka 1996, wameshakufa watu 34 ambao wanafahamika, ikiwa ni pamoja na mwalimu wa sekondari.

Mama Dr Gwajima , mpira uko kwako!
Nchi hii viongozi sahv sijui wanafanyaje kazi
Kna shida mahali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Itv hawakomi wamekomaa tena! Safi sana

Wasichokijua hawa watendaji (kina mama Gwajima), stone Tangawizi hataburiki kamwe! Unaweza hisi unamfurahisha akatumia press release yako akakugeuka akakutumbua hadharani akachukua ujiko
 
Dr. Kisandu, Diwani pamoja na ITV walijisahau wakafikiri kuwa Tanzania bado ipo kwenye utawala wa kidemokrasia. The worst is yet to come folks!
ITV sijui watakuwa na kosa gani hapa maana wao wamechukua taarifa toka kwa ofisa wa serikali, msemaji wa taasisi anayoiongoza na kuirusha hewani...

Labda waziri anataka kabla ya Television kutangaza wangemuuliza mganga mkuu wa hospitali hiyo Dr Kisandu kuwa una kibali cha Waziri kutangaza hili?

Hiyo sina hakika kama ni kazi ya chombo cha habari kufanya vile...!!

Wakiifungia ITV, itakuwa ni ubabe na uonevu tu usio na msingi wowote. Wao kama wanatumbuana huko serikalini watumbuane wenyewe na waache taasisi ya ITV kuendelea na majukumu yake...
 
Washamba na malimbukeni wametamalaki chini ya Mhutu Zanzimana , roho za binadamu kwao kupoteza maisha si kitu mradi wako bize kuondoa ukomo kwanza .
 
Hii kitu Mkuu wa mkoa na azam jana wamierusha vizuri zaidi na mkuu wa mkoa kaunda tume.
sasa m,bona juzi walikurupuka na huo mbarua wa kulaumu ITV.
 
Tatizo la serikali kuficha ugonjwa.

Zika - Aliondolewa Dr Mwelentuli Malecela
Ebola - Imemuondoa Mganga wa huko Ifumbo.
Msipendelee sana kuweka chumvi kwenye mambo ambayo hatuna uhakika nayo - mfano: nani kathibitisha kwamba Ifumbo kuna mlipuko wa ugonjwa wa Ebola??

Kwani nani aliona wagonjwa wakitokwa damu masikioni,puani na kwenye macho?

Tumeambiwa ugonjwa huu unalikuwepo on and off tangu 1996 na wala Chunya haipakani ni jimbo la Congo DRC lenye matatizo ya ugonjwa huo.

Tukumbuke kwamba Chunya wachimbaji dhahabu wadogo wadogo wantumia sana zebaki(mercury)kusafishia dhababu, ni rahisi mercury vapour (mvuke) kuathili mwili, mapafu na mfumo wa digestive systems - mvuke wa mercury unabaki kwenye nguo,hair na kuchani na kwenye viazio vya maji - wakimwaga mabaki ya mercury yanaingia aridhini mvua ikinyesha inasafirisha mabaki kwenyevianzio vya maji ya kunywa, kuogea na kufuria - maoni yangu.
 
hakuna kuripoti ugonjwa mpaka ithibitishwe na wizara ya afya
hakuna kuripoti michezo mpaka wizara ya michezo ithibitishe
hakuna kuripoti wizi/ujambazi mpaka wizara ya ulinzi ipitishe
hakuna kuripoti ...........................:cool::cool::cool::cool:
 
Serikali haifanyi kazi kama genge!
Kuna taratibu zake za uwasilishaji wa taarifa!
Je huyo daktari alifanya jitihada gani kuwasiliana na ngazi za juu kiutawala ili kujirudhisha kabla ya kukimbilia kwenye Media?

Taratibu za kiutunishi zinamhusu.
Msitake kufanya mambo yote kama jukwaa la jamiiforums ambako kila mwenye simu janja basi ni mjuaji wa kila jambo.

Tulieni na muache mihemko.
Pambaneni na kutafuta riziki kulisha familia zenu.

Bila utaratibu kufuatwa kila mtu atakuwa msemaji wa serikali ebo!
Hayo mambo yako kwa mama Dangote tu.
Serikali ina kitu inaitwa collective responsibility!
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.

Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo mbunge wa Chunya akamuomba RC Chalamila aingilie kati swala hilo kwani wapiga kura wake wanateketea.

RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana.

Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani.
Ndipo mbunge wa Chunya akamuomba RC Chalamila aingilie kati swala hilo kwani wapiga kura wake wanateketea.

RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Sisi tunasikiliza wananchi na siyo misukule ya kisiasa! samahani bi kidude gwaji girl! We have everything now You can go to hell! You dont care about us but your damn tumbo street!
 
Msipendelee sana kuweka chumvi kwenye mambo ambayo hatuna uhakika nayo - mfano: nani kadhibitisha kwamba Ifumbo kuna mlipuko wa ugonjwa wa Ebola??

Kwani nani aliona wagonjwa wakitokwa damu masikioni,puani na kwenye macho?

Tumeambiwa ugonjwa huu unalikuwepo on and off tangu 1996 na wala Chunya haipakani ni jimbo la Congo DRC lenye matatizo ya ugonjwa huo.

Tukumbuke kwamba Chunya wachimbaji dhahabu wadogo wadogo wantumia sana zebaki(mercury)kusafishia dhababu, ni rahisi mercury vapour (mvuke) kuadhili mwili, mapafu na mfumo wa digestive systems - mvuke wa mercury unabaki kwenye nguo,hair na kuchani na kwenye viazio vya maji - wakimwaga mabaki ya mercury yanaingia aridhini mvua ikinyesha inasafirisha mabaki kwenyevianzio vya maji ya kunywa, kuogea na kufuria - maoni yangu.
Aliekuambia utuoe maoni nan? Umeona ni Mercury ?? Umethibitisha??
 
Aliekuambia utuoe maoni nan? Umeona ni Mercury ?? Umethibitisha?

Are you mentally sound? I don't think so - nikwambie kitu, Taifa letu ni Nchi huru sijawahi kusikia kwamba raia wanakatazwa kutoa maoni/ushauri any time - wewe kama unaona nilicho kisema hapa hakina mantiki,basi,leta maoni mbadala au zip up.
 
Yapo mambo ya kushangaza sana taarifa mpaka ina na video watu wanalalamika wakati mwingine tunyoosheni mambo tu kuna watu hapa hawakuwajibika ipasavyo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom