Serikali yajiumbua yenyewe

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,439
Likes
117,237
Points
280

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,439 117,237 280
Serikali yajiumbua yenyewe


picture-4.jpg

Na Saed Kubenea - Imechapwa 01 December 2010

print_icon.gif
mail_icon.gif
bunge_217.jpg?1291385363UTATA umeghubika malipo ya mafao ya wabunge na mawaziri waliomaliza ngwe yao tarehe 1 Agosti 2010, MwanaHALISI limeelezwa.
Kuna taarifa kwamba mawaziri walilipwa mara mbili na kufanya baadhi yao kufanikiwa kuchota zaidi ya Sh.100 milioni kila mmoja; huku baadhi ya wabunge wakiweka kibindoni zaidi ya Sh. 77.9 milioni.

Serikali yajiumbua yenyewe | Gazeti la MwanaHalisi
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
13
Points
0

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 13 0
Tanzania tunahitaji kwa HARAKA SANA asasi za kirai zenye wasomi waliobobea ili wakatusaidie kufuatilia kila kona juu ya MIENENDO YA SERIKALI kuhusu swala zima la mapato na matumizi na USAHIHI wake.

Vyama vyetu vya upinzani vipi tunahitaji maelezo kuhusu madai haya mazito.
 

Forum statistics

Threads 1,203,598
Members 456,841
Posts 28,121,762