Serikali yaipongeza Ubungo kwa mafanikio ya mikopo ya wanawake, vijana na walemavu

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
Leo tarehe 30 April 2018, Serikali kupitia Naibu waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ndugu Joseph Kakunda ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa kuwa Halamshauri ya Kwanza na ya Mfano kwa kutoa Fedha za Mikopo ya Wanawake na Vijana kwa asilimia 100 kutoka katika Mapato ya Ndani.

Mhe Naibu Waziri ameitaka Wizara ya TAMISEMI kuandikia Manispaa ya Ubungo Barua Ya Pongezi ,kwakuwa jambo hilo limekuwa gumu sehemu nyingi sana na wengine kutenga fedha chache sana tofauti na Manispaa ya Ubungo ambao leo wamezindua zoezi la ugawaji wa Mikopo ya kiasi cha Tsh Billion 1.94, wakati ina mwaka mmoja tu tangu kuanzishwa kwake.

Naye Mstahiki Meya Boniface Jacob , amesisitiza kuwa mikopo itatolewa kwa Vigezo bila kuangalia dini, kabila wala chama cha mtu na wanaosema mikopo ni ilani ya CCM, wajiulize mbona kwingine kuna Halmashauri za CCM lakini hakuna mambo haya mazuri?

"Hivyo watu wajue viongozi makini na imara wanatoka Chama cha Upinzani na ndiyo msingi na chachu ya mafanikio yetu", alisema Meya.

Akisoma hotuba kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi Kayombo, amesema leo Halmashauri imeidhinisha kutoa fedha kwa vikundi 364 ambapo vikundi 119 ni vya vijana na vikundi 245 ni vya wanawake, ambapo jumla watakaonufaika na mikopo ni wananchi 11,312.

MWISHO

Mstahiki Meya ametoa rai kwa vijana kujitokeza zaidi kuomba mikopo hiyo, kwakuwa idadi ya akina mama ni Kubwa zaidi kuliko vijana, huku akihaidi mwezi ujao Halmashauri kuanzisha viwanda vidogo kwa ajili ya kuwasaidia vijana suala la ajira.

Imetolewa na
Ofisi ya Mstahiki Meya
Manispaa ya Ubungo
30 April 2018

IMG-20180430-WA0021.jpg
IMG-20180430-WA0019.jpg
IMG-20180430-WA0020.jpg
IMG-20180430-WA0018.jpg
 
SERIKALI YAIPONGEZA UBUNGO KWA MAFANIKIO YA MIKOPO YA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU*

31506223_1696301410449504_1293088187260051514_n.jpg

Leo tarehe 30 April 2018, Serikali kupitia Naibu waziri wa *OFISI YA RAIS TAMISEMI ,Ndugu Joseph Kakunda* *ameipongeza* Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa kuwa Halamshauri *ya Kwanza na Ya Mfano kwa kutoa Fedha za Mikopo ya Wanawake na Vijana kwa asilimia 100*, kutoka katika Mapato ya Ndani.
Mhe Naibu Waziri ameitaka Wizara ya *TAMISEMI kuandikia Manispaa ya Ubungo Barua Ya Pongezi*,kwaku jambo hilo limekuwa gumu sehemu Nyingi Sana, na wengine kutenga fedha chache sana Tofauti na Manispaa ya Ubungo ambao leo wamezindua Zoezi la Ugawaji wa Mikopo ya kiasi cha *Tsh Billion 1.94* ,wakati ina Mwaka Mmoja tu Tangu kuanzishwa kwake.

Naye *Mstahiki Meya Boniface Jacob* ,amesisitiza kuwa mikopo itatolewa kwa Vigezo bila kuangalia dini,kabila wala chama cha mtu,na *"Waaosema Mikopo ni ilani ya CCM,wajiulize mbona kwingine kuna Halmashauri za CCM lakini hakuna mambo haya mazuri? Hivyo watu wajue viongozi Makini na Imara wanatoka Chama cha Upinzani ndiyo Msingi na Chachu ya Mafanikio yetu"*
31562112_1696302827116029_6041919722248065004_n.jpg

Akisoma Hotuga kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi Kayombo,amesema leo Halmashauri imeidhinisha Kutoa fedha kwa Vikundi 364 ambapo vikundi 119 ni vya Vijana na Vikundi 245 ni vya wanawake,ambapo jumla watakao nufaika na Mikopo ni wananchi 11,312.

*MWISHO*
Mstahiki Meya Ametoa rai kwa Vijana kujitokeza zaidi kuomba mikopo hiyo,kwakuwa idadi ya akina Mama ni Kubwa Ziaidi kiliko Vijana,huku akihaidi mwezi ujao Halmashauri kuanzisha Viwanda vidogo kwa ajili ya kuwasaidia Vijana suala la ajira.

*Imetolewa na*
*Ofisi ya Mstahiki Meya*
*Manispaa ya Ubungo*
*30 April 2018*
 
*SERIKALI YAIPONGEZA UBUNGO KWA MAFANIKIO YA MIKOPO YA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU*

IMG-20180430-WA0096.jpg
IMG-20180430-WA0095.jpg
IMG-20180430-WA0090.jpg
IMG-20180430-WA0086.jpg
 
Hapo nakuelewa Meya wetu, fanya kazi ili uache kumbukumbu njema kwa wananchi siku ikifika ukumbukwe kwa kusimamia vema majukumu yako.
 
Back
Top Bottom