Serikali yaipa yanga uwanja mpya wa taifa kuwa home ground...wanasimba tugomee ligi!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yaipa yanga uwanja mpya wa taifa kuwa home ground...wanasimba tugomee ligi!.

Discussion in 'Sports' started by Phillemon Mikael, Sep 3, 2010.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Jioni hii serikali imeuandikia rasmi uongozi wa YANGA Afrika uamuzi wa kuipatia timu hiyo uwanja mpya wa Taifa kama uwanja wao wa nyumbani...hatua hiyo inakuja baada ya SIMBA ambayo nayo iliwasilisha ombi lake kutupwa....hata baada ya wasimamizi wa uwanja wa TAIFA kusema kuwa uwanja unaweza kutumika mara mbili kwa wiki ...hatua ambayo ingewezesha timu zote mbili...kuweza kutumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani....Yanga ni moja ya timu zenye washabiki wengi ...sana akiwamo rais kikwete ...na ingeweza kucheza sehemu yeyote Tanzania kama ilivyo kwa simba....

  KITENDO CHA SERIKALI KUIPENDELEA YANGA KINAWEZA KUTAFSIRIWA KWA MAANA...NYINGI KAMA MUENDELEZO TU WA YALE AMBAYO YAMEKUWA YAKIONGELEWA ....KWA WATU WALIO KARIBU NA RAIS KUTUMIA MAMLAKA NA RASILIMALI ZA NCHI VIBAYA...
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wizara ya michezo wa babaishaji ndiyo maana Bandera kasha tutwa nje anajipendekeza kwa mara ya mwisho mwisho..
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Why yanga na si timu zote. Mimi nadhani kuna watu wanatakiwa wakapimwe akili
   
 4. senator

  senator JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwa kifupi hatuna bodi imara ya michezo!! pamoja na hayo sidhani kama tunajua nini tunafanya kwenye michezo..soka la bongo limejaa uzandiki mtupu...
   
 5. m

  matambo JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Simba hatuna wa kumlaumu sie wenyewe tuma mua kwenda mwanza
   
 6. S

  Shamu JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani simba inacheza ligi kuu pia? mie ninavyojua Simba ipo kwenye Div.3 na yanga ipo div.1
   
 7. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Unatokea wapi wewe? Simba inacheza ligi Kuu na ndo mabingwa bila hata kupoteza mchezo wowote,na katika ubingwa huo walikusanya points zote sita kutoka kwa yanga na magoli lukuki yaani tulivuna goli tano(Hamza) kutoka kwa yanga. Hakuna sababu ya kugoma hii tuichukue kama changamoto,tufumbuke na tuanze mikakati ya kuwa na uwanja wetu. Hagomi mtu!!
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  We hujui Yanga ni CCM?
  Usiipigie kura CCM
   
Loading...