Katiba kama sheria MAMA itaainisha haki na wajibu wa kila mtumishi wa umma kuanzia Rais,makamu wake,waziri mkuu,Spika,Jaji na watumishi wengine wanaofuatia katika Serikali kuu na halmashauri.Sheria HUSIKA(zitakazotungwa kutokana na au kwa maelekezo ya katiba)ndio zitamwajibisha mkuu wa taasisi (yaweza kuwa ya Serikali kuu au Halmashauri) ambaye hatawasilisha michango ya mtumishi wake kwa wakati au kutoiwasilisha kabisa.Sheria ikibana hivyo na uwepo wa ufuatiliaji wa DHATI toka mamlaka za juu hakika UWAJIBIKAJI ni lazima utakuwepo kwa kila taasisi za umma na Serikali nzima.Heb nipe uhusiano wa katiba na Halmaahauri au shirika la serikali kuwasilisha michango ya wafanyakazi wake...