Serikali yailipa PSSSF tsh Trillion 2 kati ya Trilion 4, wastaafu kulipwa mafao yao kwa wakati!

Ni jambo jema, maana Jiwe alikwangua hela zote za wastaafu akazipeleka anapojua yeye, yule jamaa angepiga miaka mingine 5 hadi 2025 TZ tungekuwa kama Afghanistan
Kweli kabisa mkuu. Jiwe alichukua fedha zote akaenda kujenga uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, veta, na mbuga ya wanyama huko Chato huku akiwaacha wastaafu wakifa njaa. Mungu anamuona huko aliko.
 
Ni jambo jema, maana Jiwe alikwangua hela zote za wastaafu akazipeleka anapojua yeye, yule jamaa angepiga miaka mingine 5 hadi 2025 TZ tungekuwa kama Afghanistan
Aisee acha tu. Binafsi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwa nyakati tofauti tofauti nilikuwa namuuliza Mungu "watu wataishi hivi hadi lini?"
 
Back
Top Bottom