Serikali yaichachamalia Tanzanite One

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12742048_1043047865759671_8491916717589495667_n.jpg
 
mbona huku kwa Mengi haendi si bora huko tanzanite ajira zinaelewrka kuliko huku kwa mengi watu wanafanywa manamba kwa mgongo wa uzawa huku akisamehewa kodi
 
Mengi ni Mengi... Mengi hawezi kuguswa na kikaragosi chochote Tanzania hii... Ndio maana mnaishia kuwaonea waarabu na wahindi lakini hamjathubutu kugusa biashara yeyote ya Mengi... Na hamtaweza kwame nyie makuzi.. Mengi ni mastermind wa hatari na mnajua ndio maana hamthubutu kumgusa kenge nyie
 
Ni wapi huko kutaje ni IPP ni wa wapi?
 
Mkuu unapovu zijawahiona..naona unachoche mengi aguswe huku ukidai hawezi guswa..unakambinu flani hivi kazamani
 
Mengi ni Mengi... Mengi hawezi kuguswa na kikaragosi chochote Tanzania hii... Ndio maana mnaishia kuwaonea waarabu na wahindi lakini hamjathubutu kugusa biashara yeyote ya Mengi... Na hamtaweza kwame nyie makuzi.. Mengi ni mastermind wa hatari na mnajua ndio maana hamthubutu kumgusa kenge nyie
mkuu matus yanini tena.........
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hebu tuwe na busara jamani lengo humu ndani ni kujenga hoja, sio matusi! come on fellows!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mengi ni Mengi... Mengi hawezi kuguswa na kikaragosi chochote Tanzania hii... Ndio maana mnaishia kuwaonea waarabu na wahindi lakini hamjathubutu kugusa biashara yeyote ya Mengi... Na hamtaweza kwame nyie makuzi.. Mengi ni mastermind wa hatari na mnajua ndio maana hamthubutu kumgusa kenge nyie

Jitathmini na kujiuliza where is your interest here?! Uko sawa sawa upstairs kweli?! Wametumbuliwa Mafioso sembuse mastermind wa nini sijui?! Tafadhali usimfitinishe Mengi; Hebu tumia ubongo kidogo badala ya jazba!
 
mbona huku kwa Mengi haendi si bora huko tanzanite ajira zinaelewrka kuliko huku kwa mengi watu wanafanywa manamba kwa mgongo wa uzawa huku akisamehewa kodi
Usiongee vitu usivyovielewa otherwise ukiona vipi kaajiriwe Tanzanite one kwa hao matapeli kina Gongs na Faisal.
 
Mengi ni Mengi... Mengi hawezi kuguswa na kikaragosi chochote Tanzania hii... Ndio maana mnaishia kuwaonea waarabu na wahindi lakini hamjathubutu kugusa biashara yeyote ya Mengi... Na hamtaweza kwame nyie makuzi.. Mengi ni mastermind wa hatari na mnajua ndio maana hamthubutu kumgusa kenge nyie
Umechanganyikiwa au ndiyo zinapanda kichwani?
 
Jitathmini na kujiuliza where is your interest here?! Uko sawa sawa upstairs kweli?! Wametumbuliwa Mafioso sembuse mastermind wa nini sijui?! Tafadhali usimfitinishe Mengi; Hebu tumia ubongo kidogo badala ya jazba!
Nimesema na nieleweke Mengi hawezi kuguswa na yeyote maana biashara zake ni safi.. Miaka yote CCM walikuwa wanasema Mengi ni mkwepa kodi ila ajabu waliotumbuliwa Mengi hayumo.. Acheni majungu nyie magamba Mengi ni safi
 
Wafanyakaz wananyanyasika sana kwa huyu jamaaa, yaan unafanya kazi zaidi ya 12 hours and mpaka jumamosi dah acha hayo muulizeni y biashara zake inapopita pesa anaekwa muhindi !!!!????"
 
Nimesema na nieleweke Mengi hawezi kuguswa na yeyote maana biashara zake ni safi.. Miaka yote CCM walikuwa wanasema Mengi ni mkwepa kodi ila ajabu waliotumbuliwa Mengi hayumo.. Acheni majungu nyie magamba Mengi ni safi

Sawa bwana msemaji wa Mengi; time will tell.
 
Ni wapi huko kutaje ni IPP ni wa wapi?
mkuu mengi ana mgodi hapo mirerani
cha kushangaza yeye anajifanya yupo level ya wachimbaji wadogo ili tu asilipe kodi stahiki. wakati wanazalisha kilo za tanzanite kwa kutumia vibarua wa kitanzania lakin kwenye hela WAHINDI ndo wamewekwa na mikataba ya kueleweka huyu ndo mzawa wetu , na anataka tujivunie uzawa wake na tuendelea kumpa resilimali nyingine kama GES yetu
 
Jitathmini na kujiuliza where is your interest here?! Uko sawa sawa upstairs kweli?! Wametumbuliwa Mafioso sembuse mastermind wa nini sijui?! Tafadhali usimfitinishe Mengi; Hebu tumia ubongo kidogo badala ya jazba!
Unajua anamuharibia aliyemuweka kwenye avatar...! Mbunge wa Chalinze inabidi aombe JF moderators waondoe avatar hii kwa huyu jamaa....vinginevyo tutafikiria kuwa ndiye anayemtuma huyu jamaa kushusha maneno machafu hapa.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
mbona huku kwa Mengi haendi si bora huko tanzanite ajira zinaelewrka kuliko huku kwa mengi watu wanafanywa manamba kwa mgongo wa uzawa huku akisamehewa kodi
...kwani umelazimishwa kufanya kazi kwa Mengi?,kama unaona mshahara haukutoshi ondoka.
 
mengi? kama ni muovu zamu yake itafika tuu..

mbona huku kwa Mengi haendi si bora huko tanzanite ajira zinaelewrka kuliko huku kwa mengi watu wanafanywa manamba kwa mgongo wa uzawa huku akisamehewa kodi
mengi mengi lowasa lowasa watu wa kaskazin yani mijitu sijui mkoje mkikosa kuwataja hawa watu. Tumewapotezea na kuwaacha mtawale lakini wapi. Mnaboaaaa bana. Kenge nyie
 
Back
Top Bottom