Serikali yagusia kinachoendelea kati ya Tanzania na Malawi

Sasa mbumbu hapa ni nani kama sio wewe.

Mtu anaambiwa a prove wewe unatukana watu. hebu lala ukue
Umepanik mkuu bila sababu.. ndio maana nikasema ktk ubora wake (mhusika), sio ubora wako. Means nilikuwa nakuunga mkono kwenye hoja yako (a prove).
 
QUOTE="barafu, post: 19046181, member: 139306"]Hapana mkuu technically hapa natofautiana na wewe.
Barafu katika ubora wako
Leo umeremba aisee ,

Mambo ya "Ujasusi" kati ya nchi na nchi siyo ya kuyajibu kichwa kichwa tena ktk media.Kama kweli hao ni "watu wetu" na tukisema tuna taarifa nao,basi ndio tunazidisha mgogoro.Kumbuka kuwa hao kama walitumwa,maanake ilikuwa waende bila kujulikana na warudi bila kujulikana...Kama wamekamatwa basi ujue "Mission not accomplished"

Tena kwa nchi nyingine mnawakana kabisa...Kwamba hawa hatuwajui na hawakutumwa kazi hiyo,ndio maana kama ulisoma Nyasa Times,wale jamaa waliokamatwa wanakataa katakata kutumwa na Tanzania.

Tunaweza kutofautiana ktk mambo ya sera,itikadii na namna ya kuendesha serikali zinazoongozwa na vyama vya siasa.Lakini ni lazima tufungamane ktk mambo yanayohusu Ulinzi na Usalama wa Taifa letu.

Wakati sisi tukishinda na kukutana humu tukiisema Serikali na wanasiasa wetu;kuna watu wapo ktk mipaka ya nchi,nchi jirani,nchi kavu na majini wakihakikisha nchi hii inaendelea kuwa shwari na mahali salama pa kuishi.

Tunapofungua makasha ya zawadi za msimu wa Xmass na mwaka mpya,kuna wenzetu ktk mahandaki na mapori ya mipakani mwa nchi zetu wanafungua chupa za maji yasiyo na ladha kupooza makoo yao sbb ya kuhangaika kutwa kucha kuhakikisha adui hapenyi ktk mipaka yetu.Hawa tunatakiwa tuwaheshimu,bila kujali hisia zetu na utofauti wetu wa itikadi za kisiasa...Huu ndio utaifa,na huu ndio Umoja wa kweli wa Kitaifa.

Hujui hao waliokamatwa;Walitaka kuokoa nini kikubwa kilicholenga kuliharibia Taifa letu....Ninayasema haya kwa dhati ya moyo na kwa uzoefu wa Mataifa mengine.Tuwape heshima walinzi wa amani na umoja wa nchi hii.Kuna watu hawafanyi kazi kwa ajili ya CCM au CHADEMA/CUF,bado tuna watu wanaofanya kazi kwa ajili ya TAIFA tu....Ukiwapa "mtihani" wa CCM na CHADEMA Wanapata "Zero"[/QUOTE]
A
 
Hapana mkuu technically hapa natofautiana na wewe.

Mambo ya "Ujasusi" kati ya nchi na nchi siyo ya kuyajibu kichwa kichwa tena ktk media.Kama kweli hao ni "watu wetu" na tukisema tuna taarifa nao,basi ndio tunazidisha mgogoro.Kumbuka kuwa hao kama walitumwa,maanake ilikuwa waende bila kujulikana na warudi bila kujulikana...Kama wamekamatwa basi ujue "Mission not accomplished"

Tena kwa nchi nyingine mnawakana kabisa...Kwamba hawa hatuwajui na hawakutumwa kazi hiyo,ndio maana kama ulisoma Nyasa Times,wale jamaa waliokamatwa wanakataa katakata kutumwa na Tanzania.

Tunaweza kutofautiana ktk mambo ya sera,itikadii na namna ya kuendesha serikali zinazoongozwa na vyama vya siasa.Lakini ni lazima tufungamane ktk mambo yanayohusu Ulinzi na Usalama wa Taifa letu.

Wakati sisi tukishinda na kukutana humu tukiisema Serikali na wanasiasa wetu;kuna watu wapo ktk mipaka ya nchi,nchi jirani,nchi kavu na majini wakihakikisha nchi hii inaendelea kuwa shwari na mahali salama pa kuishi.

Tunapofungua makasha ya zawadi za msimu wa Xmass na mwaka mpya,kuna wenzetu ktk mahandaki na mapori ya mipakani mwa nchi zetu wanafungua chupa za maji yasiyo na ladha kupooza makoo yao sbb ya kuhangaika kutwa kucha kuhakikisha adui hapenyi ktk mipaka yetu.Hawa tunatakiwa tuwaheshimu,bila kujali hisia zetu na utofauti wetu wa itikadi za kisiasa...Huu ndio utaifa,na huu ndio Umoja wa kweli wa Kitaifa.

Hujui hao waliokamatwa;Walitaka kuokoa nini kikubwa kilicholenga kuliharibia Taifa letu....Ninayasema haya kwa dhati ya moyo na kwa uzoefu wa Mataifa mengine.Tuwape heshima walinzi wa amani na umoja wa nchi hii.Kuna watu hawafanyi kazi kwa ajili ya CCM au CHADEMA/CUF,bado tuna watu wanaofanya kazi kwa ajili ya TAIFA tu....Ukiwapa "mtihani" wa CCM na CHADEMA Wanapata "Zero"
Other things better remain unsaid
 
Back
Top Bottom