Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni.Serikali iliwaajiri watumishi wapya wa mahakama mwaka jana baada ya mda iliwasimamisha kazi wamekaa mwaka mmoja nyumbani wamekuja kuitwa mwezi wa saba mwaka huu kurudi kazini cha lush an chakushangaza serikali imegoma kuwapa pesa za kujikimu na mshahara leo hii wana miezi miwili wapo vituo vya kazi lakini hawana mshahara wala pesa ya kujikimu na kazi wanafanya serikali acheni mateso ya namna hii kama hamtaki kuajiri semeni tu.
Inauma sana aiseee kuwa omba omba huku unafanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata nyie watu wa mahakamani mnaleta mashtaka humu jamiiforums badala ya kuwaburuza ofisini kwenu hao wanaowadhurumu .
Sio dharau huo ni ushauri positive. Unafikiri kupayuka hapa ndio hela itakuja?
Sisi wengine mbona tulikaa miezi 4 bila pesa ila badae tukapewa? Watulie wachape kazi ili umuhimu wao uonekane....pia mbona hawatwambii kama wameishafikisha malalamiko yao kwa wakubwa wao wa Mahakama?
Sent using Jamii Forums mobile app