Serikali yafyata mkia kuhusu mswada wa marejeo ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yafyata mkia kuhusu mswada wa marejeo ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibunda, Apr 18, 2011.

 1. k

  kibunda JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  WANA JF, NAANGALIA CHANEL TEN, MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AMETANGAZA KUUFANYIA MAREKEBISHO MAKUBWA MSWADA HUU ULIOLETA TAFLANI HIVI KARIBUNI. MAMBO AMBAYO AMETANGAZA WAZI YATAREKEBISHWA, NI LUGHA, MADARAKA YA RAIS KUTEUWA WAJUMBE WA TUME, MAMLAKA YA RAIS TUANDAA HADIDU ZA REJEA NA MENGINEYO. KATIKA HILI WALIOPAMBANA SANA HISTORIA ITAWAKUMBUKA, IKIWA NI PAMOJA NA WANAFUNZI WALIOPINGWA MABOMU PALE BUNGENI DODOMA.:whoo:
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  serikali isiyo makini hizi ndo dalili zake na huu ndo utaratibu wake katika kufanya mambo...Poor Jk poor CCM
   
 3. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Kuna jambo linanitatiza kidogo. Ni kwanini serikali ifanye kazi baada ya maandamano na mabomu?
  Mwanasheria mkuu Werema aliwahi kusema katiba ni nzuri ibandikwe viraka, akasema Dowans lazima walipwe hata kwa kesi ambayo 'mwanafunzi wa mwaka wa kwanza' angeshinda, yote yakipingwa na wakuu wake wa kazi.
  Werema alibadili sheria iliyotungwa na bunge na kumlazimisha rais aisaini mara ya pili. Miswaada mingi iliyoandaliwa chini ya uangalizi wake imekuwa ina matatizo.
  Hivi hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa uangalifu na umakini hapa Tanzania zaidi ya Werema? Tutaendelea na ututusa huu hadi lini!
   
Loading...