Serikali yafuta miliki mashamba ya vigogo

elivina shambuni

JF-Expert Member
May 31, 2018
461
295
1567233076405.png

SERIKALI imefuta miliki ya mashamba matatu ya Mkomazi Plantantions, maarufu MOA, yaliyoko Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga kutokana na kukiuka masharti ya uendelezaji.

Imeelezwa kuwa moja ya masharti yaliyokiukwa ni mashamba hayo kutoendelezwa na hayajalipiwa kodi ya pango la ardhi. Uamuzi huo ulitangazwa jana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipozungumza na wananchi wa Mayomboni wilayani Mkinga alipokwenda kutatua mgogoro wa muda mrefu katika eneo hilo.

Mashamba yaliyofutiwa ni yenye hati Na. 9780 na ukubwa wa ekari 14,688, shamba Na. 4268 lenye ekari 804 na shamba lenye hati Na. 9781 lenye ekari 246. Kutokana na uamuzi huo, jumla ya vijiji 10 vyenye kaya 3,236 zenye wakazi 16,450 zitanufaika na uamuzi wa serikali kutokana na wananchi wake kuvamia mashamba hayo na kufanya maendelezo ya kujenga makazi, shule na kuendesha shughuli za kilimo cha mazao ya kudumu na ya muda mfupi.

Vijiji vilivyonufaika na uamuzi wa serikali ni Kilulu-Dunga, Zingibari, Mwaboza, Mwakikoya, Mhandakini, Nkanyeni, Sigaya, Mayomboni, Ndumbani na Moa. Akizugumza wakati wa kutangaza uamuzi huo, Waziri Lukuvi alisema uamuzi wa kufuta mashamba hayo matatu unafuatia maombi yaliyotumwa kwa Rais John Pombe Magufuli ya kutaka kufutwa mashamba hayo kutokana na kutoendelezwa na wamiliki wake kwa muda mrefu.

Alisema Rais ameridhia maombi hayo kwa kuwa serikali imekuwa ikisisitiza utekelezwaji wa Sheria ya Ardhi Na. 4 ya Mwaka 1999 inayotaka uendelezaji wa mashamba ambayo yamemilikishwa katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri huyo pia aliagiza kufanyika upimaji katika vijiji vyote 10 na kuainishwa mipaka ya vijiji hivyo na kupatiwa hati ili wananchi wanaoishi kwenye vijiji hivyo wasibughudhiwe.

Lukuvi pia alitaka maeneo yaliyopangwa kwa ajili ya uwekezaji katika shamba yaliyofutwa kuachwa kwa ajili ya shughuli hiyo ikiwamo mwekezaji wa Katani, Azka International Tanzania mwenye ekari 500 pamoja na maeneo ya viwanda.Katika hatua nyingine, Waziri Lukuvi aliagiza kufanyika uhakiki wa mashamba mengine ya Kwa Mtili Estates Co. Ltd yaliyoko Mkinga mkoani Tanga ambayo alibaini ekari 58 pekee ndiyo zilizoombwa kufutwa kwa Rais kutokana na kutoendelezwa huku mmiliki wake ikidaiwa kumiliki ekari 2,841.

Hatua hiyo inatokana na Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Obed Katonge, kueleza kuwa Kwa Mtili Estates Co Ltd inalo shamba lenye ukubwa wa ekari 2,841 tofauti na inavyoonekana katika kumbukumbu za ofisi ya Msajili wa Hati Kanda ya Kaskazini ambazo ni 58.

Lukuvi aliagiza wataalamu wa ardhi kutoka Kanda ya Kaskazini kufanya uhakiki huo katika kipindi cha mwezi mmoja na kumpa taarifa ya uhakiki huo mwisho wa mwezi ujao na pale itakapothibitika kuna ujanja uliofanyika wa kumwongeza mmiliki wa shamba hilo, hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika. Mbunge wa Mkinga, Dustan Kitandula, aliishukuru serikali kwa kusikiliza kilio cha muda mrefu cha wananchi wanaoishi eneo la shamba lililofutwa la kutaka kurejeshewa ardhi yao waliyokuwa wakiitumia kwa shughuli mbalimbali. Alisema mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Mkinga na wamiliki wa mashamba ya Mkomazi Plantantions Co. Ltd ni wa muda mrefu na anaamini uamuzi wa serikali umepeleka furaha jimboni kwake.
 
View attachment 1193982

Mkakati wa kupara kura mwakani
 
Nadhani mashammba ya wakili fulani ammbaye hivi karibuni amehusika na suala fulani nayo yako hatarini kwani yanalalamikiwa mno na wananchi wa maeneo hayo...tusubiri tuone....My advice to all of us: Do 'anything' against the state but make sure you are clean in and out...hahahahhahahhaha
 
nadhan alishafanya cost- benefit analysis especially kama anauhakika wa kukusanya madolare
 
Hahahahahahahaha let's wait and see....When you are at odds against the state you will always be 'in fear'...Money is not everything, dear...peace of mind is very very crucial
 
Akili zako kama za Musiba, maana unasema vigogo wakati hujawataja.
 
Hawajakoma tu!?? Wana ndege nyingi za kupoteza hawa!
 
Hahahahahahahaha let's wait and see....When you are at odds against the state you will always be 'in fear'...Money is not everything, dear...peace of mind is very very crucial
How sure he wasn't in peace of mind...mind is a very complex matter,,..and what is your definition of state did the lawyer commit treason or just emphasizing on arleady judicial legal judgments? we still have a long way to go
 
Hivi sera zera za ujamaa ndio sasa zinafufuriwa? Mwalimu Nyerere alipoanza kutekeleza siasa za ujamaa alianzia kwa viongozi mpaka wakina Oscar Kambona wakakimbia nchi.Tukitaka kufanikiwa na sera za utaifishaji viongozi wasiwe exonerated katika sakata hili .Usitumie madaraka yako kunyanganya wengine wakati na wewe unajulikana unavyojipatia ardhi kwa njia nyepesi.
 
Ipo siku watu watakimbia mashamba maana wakianza kodi unajikuta unatakiwa lipa milioni 20 kwa mwaka wakati shamba haliingizi
 
Nadhani mashammba ya wakili fulani ammbaye hivi karibuni amehusika na suala fulani nayo yako hatarini kwani yanalalamikiwa mno na wananchi wa maeneo hayo...tusubiri tuone....My advice to all of us: Do 'anything' against the state but make sure you are clean in and out...hahahahhahahhaha
Kurukupeni kumnyang'anya ardhi yake alafu akawashinde mahakamani mumlipe Mabilioni Kama anavyolipwa Mzungu aliyezuia ndege yetu, alafu mrudi humu mkilia lia mkitafuta huruma zetu.
 
Hahahahahahahaha let's wait and see....When you are at odds against the state you will always be 'in fear'...Money is not everything, dear...peace of mind is very very crucial
Ni Umbumbumbu uliopitiliza kudhani kwamba kutisha tisha watu kutawapa relief yoyote.

Dawa ya deni kulipa.
 
How sure he wasn't in peace of mind...mind is a very complex matter,,..and what is your definition of state did the lawyer commit treason or just emphasizing on arleady judicial legal judgments? we still have a long way to go
Akili za vijana wa "Lumumba" ndio ziko hivyo, Hawa Ni kuwaapuuza tu.
 
Kurukupeni kumnyang'anya ardhi yake alafu akawashinde mahakamani mumlipe Mabilioni Kama anavyolipwa Mzungu aliyezuia ndege yetu, alafu mrudi humu mkilia lia mkitafuta huruma zetu.

sawa...ila nadhani hujui kuhusu sheria ya ardhi Tanzania
 
Ni Umbumbumbu uliopitiliza kudhani kwamba kutisha tisha watu kutawapa relief yoyote.

Dawa ya deni kulipa.

Sawa...msemo wa dawa ya deni ni kulipa umetawala kwa baadhi yetu hivi sasa...sina hakika kamawote tunaelewa maana yake..
 
Nadhani mashammba ya wakili fulani ammbaye hivi karibuni amehusika na suala fulani nayo yako hatarini kwani yanalalamikiwa mno na wananchi wa maeneo hayo...tusubiri tuone....My advice to all of us: Do 'anything' against the state but make sure you are clean in and out...hahahahhahahhaha

..unamaanisha jamaa mwenye mashamba ya maua?

..kama watambugudhi kwasababu alikuwa wakili wa mkulima mzungu basi huo utakuwa ni uonevu.

..mawakili anapotetea kesi yoyote haimaanishi kuwa anakubaliana na maoni au msimamo wa mteja wake.

..kwa mfano, tulikuwa na kesi ya uhaini miaka ya 80. Watuhumiwa wa uhaini walitetewa na mawakili wa hapahapa Tz. Pamoja na hayo haikumaanisha kwamba mawakili wa utetezi walikuwa wanaunga mkono uhaini.

..katika sakata la huyu mzungu walio against the state ni wale waliofanya uzembe ktk kuhakikisha deni linalipwa kwa wakati na kusababisha mzungu atashitaki mahakama ya Afrika Kusini.

..Wazembe walioko ndani ya serekali / state wanawatupia lawama mawakili wakiTz wa mzungu kama njia ya kuficha madhaifu yao yaliyoisababishi nchi HASARA na kutuletea AIBU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom