Serikali yafungua milango ya bahari, yaruhusu watu kuvua hata bila Leseni

Jiwe anahaha kweli uchaguzi umekaribia ,anatafuta kura za kila kundi ,mpaka za wapiga dili na vyeti feki na familia zao anazitaka sasa hivi ,amesahau kama aliwananga sana .Muda si mrefu atawaita ikulu waeleze matatizo yao ,Jiwe ni jiwe tu
 
Hizo shida ndio wamezijua sasa? Bado mnatumia mbinu za kizee miaka hii?
Kila siku inaleta changamoto mpya na si kila changamoto inatatulika kwa siku moja...ndiyo sababu, kwa mfano, changamoto ya makao makuu ya chadema kwa takribani miaka 24 sasa bado haijatatulika na chama bado kimepanga pale Ufipa kwenye kile kijumba licha ya chama kukua na ruzuku kuongezeka.
 
Kwa hilo la ofisi ya cdm uko sahihi hapa sipingi kwamba cdm wamechemsha kutokuwa na ofisi. Ila hilo halipunguzi ukweli kuwa hizi ruhusu za sasa ni rushwa za uchaguzi fullstop.
 
Kwa hilo la ofisi ya cdm uko sahihi hapa sipingi kwamba cdm wamechemsha kutokuwa na ofisi. Ila hilo halipunguzi ukweli kuwa hizi ruhusu za sasa ni rushwa za uchaguzi fullstop.
Kwa hiyo hoja yako ni kwamba ruhusa ya uvuvi isitolewe au msimu wa uvuvi usifunguliwe kwa vile ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Kwa hiyo hoja yako ni kwamba ruhusa ya uvuvi isitolewe au msimu wa uvuvi usifunguliwe kwa vile ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa?

Toeni ruhusa hata ikibidi wagaieni hao wavuvi boat za kisasa za uvuvi, ila ukweli uko pale pale kwamba ni rushwa ya uchaguzi.
 
Toeni ruhusa hata ikibidi wagaieni hao wavuvi boat za kisasa za uvuvi, ila ukweli uko pale pale kwamba ni rushwa ya uchaguzi.
Kwani idadi ya hao wavuvi ni kubwa kiasi gani mpaka wahongwe?
 
QUOTE="Retired, post: 30245620, member: 376984"]Habari ndiyo hiyo. Kila mmoja anaruhusiwa kuvua, bila leseni. Ni kweli mnapendwa na serikali au kuna kitu nyuma yake. Sensing something ahead that will need poorman's support? Unaunda tatizo, then unajifanya kulitatua![/QUOTE]
Sasa nyavu zetu tenahalali walizo choma na machine au engine mnazoshikilia hadi leo mtaturudishia naitambulike kuwa mashine mlizochukua ndio zinatumika kusafirisha wagonjwa na wakina mama wajawazito pindi tatizo linapo kuwa kubwa kushindwa kutatuliwa na zahanati za vijiji ukishika madaraka usisahau ulikotoka unatakiwa kuwa mkombozi wa wale uliowaacha nazani hapowamegundua tokomeza uvuvi haramu kulipita uonezi mkubwa tunamuomba waziri awewazi kwa unyama tuliofanyiwa iliwavuvi turudishe imani tena
 
NTE="Azarel, post: 30246135, member: 383171"]UCHAGUZI UMEKARIBIA.....!

Kura zinabembelezwa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Niwe muwazi kura yangu nafamilia yangu pamoja nawavuvi wangu hawapati hadi hasara walionipa bilakosa lolote warudishe naomba kwahili wavuvi wenzangu mniunge mkono rais nilikupenda lakini waziri kakupenda zaidi
 
Hapana kiongozi, overfishing haisababishwi na nyavu pekee, namna kubwa inayoathiri ukuaji wa samaki ni pamoja na masaa ambayo meli ya uvuvi inakuwa baharini ikivua na namba ya vessels zinazokuwa baharini at any moment in time.

Ndio maana njia ya kisasa ambayo ni kweli haikuwepo sana huko nyuma ni Kufanya quotas and seasonal fishing. Hivyo huo utaratibu wa Serikali upo na ndio unaoshauriwa kutumika. Kwa uelewa zaidi isome concept ya tragedy of the common in fishing industry. Kwa Machache hayo nadhani ni sahihi kabisa utaratibu huo kufanyika unless otherwise siasa ziingilie kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea hapo ninachozungumzia Mimi niziwa Tanganyika umeomba zana zauvuvi zisalimishwe watu wametekeleza unapima nyavu unasema zipo sawa ndizo zinaruhusiwa kisheria alafu unauliza mwenyewe yupo wapi unaambiwa anaishi mjini kisha unasema kama hayupo atakuta jivu sisi tumetumwa pesa sio hivyo vigezo watu wamepigwa sana kama wanyama pamoja na kusalimisha nyavu zao hatari sana
 
Habari ndiyo hiyo. Kila mmoja anaruhusiwa kuvua, bila leseni. Ni kweli mnapendwa na serikali au kuna kitu nyuma yake. Sensing something ahead that will need poorman's support? Unaunda tatizo, then unajifanya kulitatua!
Wavuvi wetu wanauwezo sawa na wale wa nje?
 
Nakubali......... lakini from time immemorial kulikuwa hakuna mazuio kama hayo na samaki hawajawahi kuisha. Why today? particularly under this regime? Kukua kunakuwa determined na size ya nyaavu na si kuwazuia watu kuvua. Unakataza matumizi ya nyavu fulani, siyo kukataza kabisa kuvua!
Nimeishaona sehemu mbali mbali duniani wanavua kwa msimu,wala si jambo geni.Faida zake ziko wazi.
 
Bahari inafungwa Tz tu? Huko Australia, India, Arabuni, Mozambique, SA nk mbona huwa hawafungi? Samaki wana migrate kutoka eneo moja kwenda lingine kutokana na hali ya hewa na majira pia.
Tuseme tu chaguzi zimefika sasa ni muda wa sheria kuwekwa pembeni na watu wazoee unafuu kisha watachukua na kutia waaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki wa Tanzania wanaheshimu mipaka ya nchi.
 
Back
Top Bottom