K kabombe JF-Expert Member Feb 11, 2011 26,152 18,741 Feb 3, 2016 #3 Hii mambo ya kupiga picha gazeti halafu unaleta kichwa cha habari inatesa,wengine visimu vyetu tunavijua wenyewe
Hii mambo ya kupiga picha gazeti halafu unaleta kichwa cha habari inatesa,wengine visimu vyetu tunavijua wenyewe
Gwallo JF-Expert Member Oct 15, 2010 3,283 4,051 Feb 3, 2016 #5 Naona ni sawa kwa serikali kufunga mkanda ila hofu tu ni kwamba bado kuna viwavijeshi vingi ambao wanahitaji kunyunyiziwa dawa...........
Naona ni sawa kwa serikali kufunga mkanda ila hofu tu ni kwamba bado kuna viwavijeshi vingi ambao wanahitaji kunyunyiziwa dawa...........
mndorwe JF-Expert Member Jan 9, 2014 2,472 1,027 Feb 3, 2016 #6 Hawa jamaaa wa lumumba wana narrow mind jaman......
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Feb 3, 2016 #7 Sasa heshima itarudi huku mitaani, madharau yatapungua
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,657 729,768 Feb 3, 2016 #8 MKWEPA KODI said: Sasa heshima itarudi huku mitaani, madharau yatapungua Click to expand... Tutaheshimiana sasa hasa mitaa ya Sinza na kino
MKWEPA KODI said: Sasa heshima itarudi huku mitaani, madharau yatapungua Click to expand... Tutaheshimiana sasa hasa mitaa ya Sinza na kino