Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,680
- 3,396
Sera za US kwa Africa zipo wazi. Lengo la kikao ni kuongeza ushawishi zaidi wa US kwa Africa, ushawishi wa kisiasa na hasa ndio wenye matokeo chanya kwa US...
Us Anadeal na Huduma za Kijamii ( Afya, Elimu)
Hana Muda wa kuwekeza Kwenye Bandari
Sababu Kuu yeye yupo Kisiasa zaidi Barani Afrika anajua Ukimwi, Malaria, Fistula ndio eneo la kutushika akili
NB: Ushawishi wake wa kisiasa lengo kuu ni kuendelea kupandikiza viongozi wake baraka ili kulinda maslah yake ( PK, M7, Nk)