Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Saaana! tunahitaji Bandari ya kisasa karibu na Business Capital yetu kwa ajili ya kusupport Bandari ya Dar ambayo kiukweli imefikia ukomo wake katika kukuaKwani ina umuhimu?
Saaana! tunahitaji Bandari ya kisasa karibu na Business Capital yetu kwa ajili ya kusupport Bandari ya Dar ambayo kiukweli imefikia ukomo wake katika kukuaKwani ina umuhimu?
Sera za US kwa Africa zipo wazi. Lengo la kikao ni kuongeza ushawishi zaidi wa US kwa Africa, ushawishi wa kisiasa na hasa ndio wenye matokeo chanya kwa US.Biden kaandaa kikao na viongozi wa Afrika. Nadhani kitafanyika siku si nyingi sana.
Tuombe uzima tusikie jinsi Marekani atakavyotangaza mabadiliko ya Sera yake kwa Afrika. Wabashiri wanadai sasa Marekani ataanza uwekezaji mkubwa Afrika kama anavyofanya China. Tusubiri tuone
Watendaji ndio wanafanya bandari iliyopo kudororaSaaana! tunahitaji Bandari ya kisasa karibu na Business Capital yetu kwa ajili ya kusupport Bandari ya Dar ambayo kiukweli imefikia ukomo wake katika kukua
Sisi ikiwa ni hivyo ilikuaje walianzisha tena mazungumzo?Jarida la The African Report lilishaandika haya na kuelezea jinsi itakavyokuwa vigumu kwa Tanzania kuwashawishi tena Wachina kujenga Bandari Bagamoyo wakati China tayari amesha invest heavily kwenye Bandari ya Lamu hapo Kenya na Beira Msumbiji
Vyovyote vile ilikuwa ngumu sana China kufanya commitments kwenye Bandari zote hizo as kiuchumi lazima ingemletea hasara
Sasa tunachotakiwa kufanya Tanzania ni kupata mwekezaji ambaye sio mchina atakaye compete na mchina kwenye kanda hii
Unajua thamani ya huo mradi? Au unafikiri ni sawa na kujenga chumba Cha mlinzi.Kwani lazima wawekezaji? Kama tuliwekeza kwenye kununua ndege matrilioni ya shilingi tunashindwa nini kuwekeza fedha zetu wenyewe?
Hapo kinachotakiwa ni serikali kuweka mipango ya muda mrefu ya kuwekeza bila kuathiri miradi mengine.
Mama Samia hii ni fursa yako ya kuweka legacy(alama ya uongozi wako), Jenga mwenyewe hiyo Bandari.
Ni fedha nyingi, tuliwekeza angalau trillion moja kwa mwaka tunaweza kufanikisha hata kwa miaka 20. Hakutakuwa na issue ya migogoro ya mikataba mibovu isiyojali maslahi ya nchi.Unajua thamani ya huo mradi? Au unafikiri ni sawa na kujenga chumba Cha mlinzi.
Huo mradi ni zaidi ya trillion 20, unazitoa wapi? Hivi unajua nusu ya pesa serikali inayokusanya hutumika kwa mishahara? Nusu inayobaki kwa ajili ya operations na miradi ambayo haitoshi kabisa
Ingekua hatuna kabisa bandari basi ni kweli pengine tungeweza kujipiga kifua tuanzw mdogo mdogo, lakini tayari tuna bandari kubwa 3
Unafanya hivyo ikiwa hauna option, ila kwa Sasa tuna bandari kubwa 3 na za kisasa.Ni fedha nyingi, tuliwekeza angalau trillion moja kwa mwaka tunaweza kufanikisha hata kwa miaka 20. Hakutakuwa na issue ya migogoro ya mikataba mibovu isiyojali maslahi ya nchi.
Alikuwa sahihi, mchina si mtu.Kwahiyo tuendelee kuamini kuwa mwendazake alikuwa sahihi kuukataa ule mkataba sio?
Marekani ni mara miaMarekani nao ni hopeless, hawawezi kuwekeza hapo, unless kama mnawapa military base na uranium, they are equally wachenzi kama China
Lamu port imeanza kuSisi ikiwa ni hivyo ilikuaje walianzisha tena mazungumzo?
Nimekueleza china walianza ujenzi wa lamu kabla hata ya huu mradi wa Bagamoyo. Ujenzi wa lamu haukuhusiana na huu wa Bagamoyo. Alafu pia ni wawekezaji tofauti
Sisi ikiwa ni hivyo ilikuaje walianzisha tena mazungumzo?
Nimekueleza china walianza ujenzi wa lamu kabla hata ya huu mradi wa Bagamoyo. Ujenzi wa lamu haukuhusiana na huu wa Bagamoyo. Alafu pia ni wawekezaji tofauti
Utaipanua Bandari ya Dar kuelekea wapi?Haya mapesa ya kujega Bagamoyo kwanini tusitumie kupanua Dar, Tanga na Mtwara?? Bandari 4 zote kubwa kwenye mwambao mmoja za nini??
Subiri kikao acha ramliSera za US kwa Africa zipo wazi. Lengo la kikao ni kuongeza ushawishi zaidi wa US kwa Africa, ushawishi wa kisiasa na hasa ndio wenye matokeo chanya kwa US.
Kwa lugha nyepesi tu US ni kama hana Cha kuinvest Africa kwa kuwa anachotaka anakipata bila kutumia nguvu yoyote.
Unafanya hivyo ikiwa hauna option, ila kwa Sasa tuna bandari kubwa 3 na za kisasa.
Na pengine labda kweli bandari ingekua imezidiwa Sana na mizigo. Bandari haijazidiwa na mizigo bali ufanisi wa watendaji haupo.
Nimekuuliza hapo kwa nn hao wachina walikubali kuanza tena.mazungumzo?Lamu port imeanza ku
Tanzania: Why Bagamoyo Port deal with China is an uphill battle
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has resumed talks with China on the Bagamoyo port deal, but she may be too late.www.theafricareport.com
Soma hiyo, the African Report walishatabiri kuhusu ugumu wa kushawishi uwekezaji wa iyo Bandari kwa wachina kwa sasa na walisema kuhusu Bandari ya Lamu kama moja ya sababu
Hilo swali wakujibu wao sio mimiNimekuuliza hapo kwa nn hao wachina walikubali kuanza tena.mazungumzo?