Serikali yafanya mabadiliko ya uongozi katika Bandari ya Dar es salaam

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo ametangaza kufanya mabadiliko ya uongozi katika bandari ya Dar es salaam..

Msikilize;

 

Attachments

  • Mwananchi.mp4
    992 KB · Views: 37
Wanahamishwa badala ya kufukuzwa kazi!?Tumerudi kule kule tulikotoka.Ovyoo.JPM si ulisema wewe hutahamisha utafukuza,vipi tena?Mnawaogopa nini hao?
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo ametangaza kufanya mabadiliko ya uongozi katika bandari ya Dar es salaam..

Msikilize;

 
yaani wezi wanahamishiwa sehemu nyingine wakaendelee kuiba huko duh! Kweli ccm ni ile ile...hii awamu haina tofauti na ya jk
 
Kumfukuza kazi mtu ni mchakato na inabidi uwe na ushahidi. Ila kuchukua watu wengi kutoka sehemu moja kuwapeleka Bandarini nalo linaweza kuwa tatizo. Watanzania wanafanana tabia. Anaweza kuwa sio mwizi sasa hivi; akipata nafasi basi; inakuwa tunavyosema "ataitumua vizuri". Watanzania wanakushangaa ukiwa sio mwizi kwa mwajiri wako; yaani huwezi kutumia nafasi yako vizuri.
 
Mbarawa ameamua kuwachukua washikaje wenzake alio fanya nao kazi awamu ya 4.. hapa kazi tuu
 
Kwani amesema wana makosa yoyote au ni mabadiliko ya kawaida ili kuleta ufanisi zaid
 
Watu wanashindwa kuelewa kufukuza kuna taratibu zake kama ilivyo kuajiri. Kama kuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa mlengwa katenda kosa utaratibu wa kufukuza upo, kama ushahidi hakuna ndio kabisa mfanyakazi hagusiki zaidi ya kuhamishwa!
 
mlikua mnazugwa tu..
CCM ni ileile..
JAMANI NJAA IMEZIDI..
vipi huko kwenu kazi tu vipi ?
 
Back
Top Bottom