Siku hiyo nilighabika sana.Waziri mkuu bogus kupita maelezo na serikali bogus.Waziri mkuu kwa nafasi yake haiwezekani asijue kwamba kuna mawaziri wanaoishi hotelini. Kama kweli alikuwa hajui basi hatuna mtu pale.Angalia na jibu lake la kejeli 'nimesikia',kudadeki! si aliulizwa huko ndio kupunguza matumizi? Amesikia nini? pambaVUU!!!

Huwa haangalii TV za kimataifa. Anaangalia zaidi taarabu apate maneno ya kumjibu Mdee na LisuHapo pm umechemsha unaonekana ni mvivu hufuatilii mambo. Speaker naye bogas swala la barick linapaswa kutolewa majibu bungeni, kwa wenzetu limepamba moto sisi tunaleta usanii. Huyu bi kiroboto ni wa hovyo anashindwa kuona mtazamo wa kimataifa jambo hili limekaaje?
Oya! Chunga kauli... Utatakiwa kuweka kwenye maandishi. Bi Kiroboto!!!!!???? Humfaham vzur nini?Hapo pm umechemsha unaonekana ni mvivu hufuatilii mambo. Speaker naye bogas swala la barick linapaswa kutolewa majibu bungeni, kwa wenzetu limepamba moto sisi tunaleta usanii. Huyu bi kiroboto ni wa hovyo anashindwa kuona mtazamo wa kimataifa jambo hili limekaaje?