mawaziri kibao wako pale mlimani city wamepanga zile nyumba za doa kwa kwa mwezi, kassmi majaliwa naye yuko pale. mambo mengine ni ujuha, unakuta mtu ana nyumba yake nzuri tu kimara, akishateuliwa waziri anahamia hotelini na kuanza kukata starehe. mmojawapo ni Dr, cyril chami, mbumbu mzungu wa reli. kule kupata ubunge kahama kimara, na kuile moshi siku hizi halali tena kijini kwao bali YMCA