Serikali yaanzisha kero mpya kwa wafanyakazi

Kwa sasa ninaishi kama sina ajira vile maana ni kama sina mshahara. Kodi na makato kwenye mshakara ni kubwa. Serikale inatufirikiraje sisi wafanyakazi lakini? Kila siku tunalalamika mishahara midogo badala ya kufikiria namana ya kutusaidia wao wanabuni njia za kuendelea kutunyonya na kutunyang'anya mishahara. Walilazimisha kutukata mishahara ili kulipia bima ya afya lakini huduma hakuna, tukiugua tunalazimika tena kutoa fedha zetu kujilipia ili tupate matibabu. Mimi mfanyakazi wa Tanzania nitaishije kama serikali itaishia kunipokonya tena hako kamshahara kote kiduchu kupitia kodi na makato? Jaribu kuangalia makato anayokatwa mfanyakazi wa kitanzania leo labda utanielewa vizuri zaidi;

KODI YA MAPATO (PAYE) = 14%
PENSHION = 5%
BIMA YA AFYA = 3%
VYAMA VYA WAFANYAKAZI (kama amejiunga) = 1%
HESLB (KAMA ALISOMA KWA MKOPO TOKA HESLB) = 8%
AKINUNUA BIDHAA YOYOTE ANALIPIA VAT = 18%

JUMLA YA KODI NA MAKATO KWA MFANYAKAZI WA TANZANIA = 49%

HII NI KUSEMA MFANYAKAZI ANAPATA TU NUSU YA MSHAHARA WAKE, NUSU NYINGINE INACHUKULIWA NA SERIKALI KAMA KODI NA MAKATO. SASA MFANYAKAZI HUYU ATAISHIJE KWA NUSU MSHAHARA?

Asante kwa uchambuzi makini, mkuu, Ni bahati mbaya kuna baadhi ya maCCM wanaoamua kujitoa akili na kutetea wizi huu wa mchana kweupe! Jamani tuweni na huruama kwa wafanyakazi. Hivi nyie CCM mnajisikiaje wafanyakazi wanavyonyonywa hivi?
 
Una uhakika na unachokisema? Ulihesabu kura za walimu wote? Kwa taarifa yako kama kuna uwizi wa kura basi huwa haufanyiki vituo vya kupigia kura ambako walimu husimamia kwani huwa kuna mawakala wa kila chama ambao huridhia matokeo.Nadhani wewe una chuki kubwa sana na walimu.Hebu tafuta njia sahihi ya kumaliza matatizo yako na siyo tu kulaumu walimu hata wasipohusika.Uelewa wako wa mambo unaanza kunitia shaka kidogo.

Nina uhakika! Wizi wa kura unaofanywa na CCM kwa msaada wa walimu ndio uliotufikisha hapa.
 
Kama wewe unashabikia kuongezwa kodi kwa wafanyakazi, basi bora muswada huo wa hiyo kodi mpya, uspecify kuwa watakaokatwa ni wafanyakazi wale tu wanaofanya kwenye ofisi za CCM, ili zile buku 7 zako unazodaka kila siku, pale Lumumba nazo zikatwe hiyo kodi mpya ya kuwafidia wafanyakazi wanaoumia kazini, ili nyinyi wafanyakazi mnaotumikia magamba, mfeel the PINCH!!!

Nawashangaa sana hawa maCCM, utadhani ni wanachama wa UKAWA pekee wanaokatwa hizi fedha. Ushabiki mwingine wanaofanya maCCM ni wa kizezeta kabisa!
 
Back
Top Bottom