Serikali yaanza kushindwa kuhudumia shule zake , Wanafunzi wa Iyunga Tech waanza kuokota chupa jalalani ili kujikimu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,376
Subpost 3 - __WANAFUNZI IYUNGA, HALI TETE__ Na Mwl Dotto Yotham (Mfeminist) .071.jpg


Subpost 5 - __WANAFUNZI IYUNGA, HALI TETE__ Na Mwl Dotto Yotham (Mfeminist) .071.jpg


Hii ndio hali halisi .

Natoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi kuiangalia Iyunga kwa jicho la huruma .
 
Dah ooh My God

Shule yangu ya o level hiyo

Eeh Mungu wangu , aisee

Hivi ile harambee tuliyochangia hela zilifika kweli

Hazchem plate njoo uone madogo wanavyoteseka sa hivi

Nimesoma hapo advance, nimeumia sana kusikia hivyo. Hilo la challenge ya cocacola juu ya usafi wa mazingira naomba liwe kweli, Vinginevyo itakua ni fedheha kubwa kwa wana ''levavi Oculos'' kuokoa makopo kwa ajili ya ''kujikimu'
 
Sijawahi kuona/kusikia serikali ikihudumia fedha za kujikimu kwa wanafunzi wa ngazi za sekondari ni kuanzia chuo tu ndio kuna bum.
 
Back
Top Bottom