Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

December 2019
Chato, Geita
Tanzania

Miundo-mbinu ya makazi ya watu
Siku mkipelekwa baharini au ziwani na mafuriko msiilaumu serikali maana nchi hii hakuna mipango miji wala vijiji hivyo kabla ya kujenga makazi waulizeni wazee wa maeneo husika bila hivyo sufuria zenu zitakwenda na maji ya mafuriko.

December 19, 2019

China yatanua mpango kabambe kupambana na umasikini wao
China yazidi kuhakikisha inafungua miundo-mbinu ya mawasiliano ya nchi kavu na baharini kutafuta masoko ya bidhaa zao ili kupingana na adui umasikini nchini mwao.

Njia hiyo waChina wameibatiza maneno mawili Njia ya Hariri au Silk Road, kitu ambacho nchi nyingi masikini ikiwemo Tanzania bado hawajaielewa ili pia nao kufaidika kupigana na adui masikini.
Source: MCL Digital

Dr.Mayi Yi Shaw katika dokumentari maalum akielezea Njia / Barabara ya Hariri

Source: CNBC INTERNATIONAL TV
 
Ajenda 2020 : Critical and Comprehensive Analysis : Mjadala kuhusu Falsafa ya Maendeleo ya Vitu dhidi ya Maendeleo ya Watu na Dr Godwin Gunewe
  1. Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuigiza China kwa kukopi na kupesti maendeleo ya vitu
  2. Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuigiza Maendeleo ya nchi ya Marekani kwa kukopi kila kitu
  3. Tanzania itaendelea kwa kukumbatia falsafa ya Demokrasia na Maendeleo inayochagizwa na wapinzani waKitanzania na siyo Ujamaa wa CCM uliochukuliwa toka nchi 'Rafiki' ya China
  4. Ph.D za waTanzania hazina manufaa kwani wenye nazo wako informed na siyo formed kuweza kuwa na falsafa zinazowafanya kuweza kujitegemea kufikiria kutatua matatizo yetu na siyo kusimulia yale yaliyo ktk vyeti vyao ambayo hayana mguso na mazingira halisi na changamoto za Tanzania.

Source: Star TV Habari
 
USIPITWE TAZAMA KIPINDI AGENDA 2020 | MADA : FAIDA NA ATHARI ZA PROPAGANDA KWA TAIFA

Source : Star TV Habari
 
January 13, 2020

Methodolojia ya rasimu Sahihi za Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 (SDG) Tanzania
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya kazi na ofisi ya mazingira ya umoja wa mataifa katika kufanya majaribio ya rasimu ya methodolojia ya kupima kiashiria namba 17.14.1 cha malengo ya maendeleo endelevu, (SDGs) ambacho kinafuatilia idadi ya nchi zenye mifumo ya kuimarisha mahusiano ya kisera kwa ajili ya mpango wa maendelelo endelevu

Source: Dar24 Media
 
By Kawe Alumni
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

Rais Magufuli said:
Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI.Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya.Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA!

eeedafb6-a374-4f53-b9d7-2115c36a6662.jpg

2ff11260-738b-46d4-94aa-c48a2f4d05e2.jpg
 
By Kawe Alumni
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

eeedafb6-a374-4f53-b9d7-2115c36a6662.jpg

2ff11260-738b-46d4-94aa-c48a2f4d05e2.jpg
Kelele nyingi Babu yake hana kitu
 
Ungeandika lower middle income
 
2 Julai 2020
Maana Ya Uchumi Wa Tanzania na Dr. Philip Mipango (Tanzania's Economy)
Kufuatia uchumi wa Tanzania kupandishwa daraja na World Bank kuwa uchumi wa daraja la kipato cha kati ngazi ya chini, waziri wa Fedha anafafanua

Source : ANGAZA TV
 
Mtoto akililia wembe mpe wakubwa walisema. Kuna la kujifunza kutokana na Tanzania kila mara kubishana na mashirika makubwa kama Fuko la Fedha Duniani IMF na Benki ya Dunia World Bank n.k juu ya kiwango wa makuzi kiuchumi na pia utajiri kama nchi ambao Tanzania ilitaka takwimu ziwekwe sawa.

Kipato cha mtanzania wa kawaida kwa wastani kwa mwaka ni dola za Kimarekani 1,036 sawa na Shilingi za Kitanzania 2,391,000 kwa mkulima, mfugaji, mvuvi na watu wengine wa kawaida.

Maana yake waTanzania wa kawaida na nchi pia inaweza kujitegemea zaidi bila kuomba misaada midogo.
 
Back
Top Bottom