upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,072
- 4,482
Mimi nawashauri na wasio na akili timamu pia wafanye hivyohivyo.
Rai yangu kwa Watanzania wenye akili timamu waikatae katiba hii ya kipuuzi kwa nguvu zao zote.
Mimi nawashauri na wasio na akili timamu pia wafanye hivyohivyo.
Rai yangu kwa Watanzania wenye akili timamu waikatae katiba hii ya kipuuzi kwa nguvu zao zote.
hizi kofia zimegharimu billion 122,kama siyo ufisadi ni nini
Haki ya nani nimecheka sana! CCM ni matapeli nambari one!
Sasa kugawa kofia za ndiyo katiba mpya wakati hao unaowapa kofia hawaijui katiba yenyewe si USANII mchana kweupe???
Kama nchi imewashindwa si muondoke tu??
lancanshire, hasira na kilio chako vinaeleweka sana. Sote tunaopenda kuona nchi yetu inabadilika kwa manufaa ya wananchi wote tuna hasira na kilio hicho hicho. Lakini ukweli ni kwamba tupige kura ya ndiyo au la au tususie hii ndio kitu pekee ambacho jungu kuu anafikiria ataweza kukumbukwa katika historia ya Tanganyika. Kwa hivyo tupende tusipende hatuwezi kulishinda jungu kuu. limeishapania na ndiyo sababu ya uchakachuaji uliouona na huo unaokuja.ILA mnajisumbua maana katiba mnayoipendekeza haipiti hata mfanyeje watanzania tulifuatilia Bunge lenu la ccm na tuliona uozo wote mliokuwa mnaupendekeza. Nawashauri ifungieni hiyo katiba ofisini mpaka siku ya kupiga hiyo Kura mwende na watoto wenu wa ccm mkapige. Mna kazi ya kuwasomea watu kwenye tbccm kila siku asubuhi kwa taarifa tu ni kwamba hakuna mtanzania anaengalia tbccm labda mafisadi .
Shilingi Billion 122 za kununua kofia! sii miezi 4 iliyopita watu wamelazimishwa kuchangia Maabara kwenye shule za sekondari za kata? kumbe pesa zipo!
Madawati mangapi yangetegenezwa ili kukabiliana na uhaba wa madawati mashuleni? hii nchi ina viongozi wa aina gani?!!
Tuondoke twende wapi mkuu? Mbona hututakii mema??..
Shilingi Billion 122 za kununua kofia! sii miezi 4 iliyopita watu wamelazimishwa kuchangia Maabara kwenye shule za sekondari za kata? kumbe pesa zipo!
Madawati mangapi yangetegenezwa ili kukabiliana na uhaba wa madawati mashuleni? hii nchi ina viongozi wa aina gani?!!
Tukisema nchi hii ina ombwe la uongozi na imejikatia tamaa kuna watu wanabisha. Si ajabu kuwasikia viongozi wa kisiasa hasa wa CCM wakipiga kelele majukwaani kuwa someni katiba pendekezwa muielewe na muipigie kura ya ndio.
Ajabu yake katiba hizo hazijagawiwa kwa wananchi, sasa nashidwa kuwaelewa hawa wakoloni weusi katiba wanayotuambia tuisome iko wapi.
Hivi karibuni nilifunga safari mpaka kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa na nikamuomba katiba pendekezwa , akasema hata yeye hajawai kuiona, hajui hata rangi yake.
Baada ya serikali hii dhaifu kushindwa kuchapisha na kugawa hiyo katiba ya vijisenti,sita na wenzake. Sasa wameanza kugawa kofia zinazowataka watanzania waipigie kura ya ndio katiba ambayo hawajawai kuiona,, kama sio wehu ni nini?
Rai yangu kwa Watanzania wenye akili timamu waikatae katiba hii ya kipuuzi kwa nguvu zao zote.
Jiimarisheni kwanza huko kwenye vyama vyenu, watanzania wakiona mnafaa watawachagua! Ila kwa sasa bado sana!