Serikali yaagiza Treni za kisasa 22, Mabehewa ya kisasa 1430!

Jaribu kuikata hapo ni 150 KM/hr …. ….. . ding dong.
Duniani siku hizi 160Km/H siyo story tena, sasa wanazungumzia mpaka 420KM/h, halafu mtoa uzi kasema kwa afrika ni south afrika tu sijui Morocco kaiavhia wapi
 
Ulitaka umpangie wewe? Hakuna rais Tanzania aliyepangiwa atumie kiasi gani, hata kwenu hukumwambia baba yako akuambie katumia pesa kiasi gani. Ukilifahamu hilo ambalo lipo kikatiba hutapata tabu.
Punguza ujinga kiasi. Yeye anajipangia.matumizi atakavyo hizo fedha.za kwake!? Yeye analipa kodi kiasi gani!? Fedha za nchi sio sawa na fedha zako mfukoni unatumia tu unavyotaka. Nyie wajinga ndiyo mnaoamini kuwa ukishakuwa rais basi uko juu ya sheria. Ni upuuzi tu huo.
 
Sasa mjinga hapo ni nani? JK aliitwa Vasco Da Gama, kuna mtu alimuuliza kwa nini anatumia? JPM anakusanya kodi ambayo kila mtu analipa, yeye ndio mkusanyaji mkuu kuhakikisha pesa zipo ukilala na njaa (ie ukiona Serikali haifanyi haki) lipo sanduku la kura, wacha kulialia kama shoga. JPM anakusanya na anatumia anavyoona kwa manufaa ya taifa na ndiye rais wewe kinyago endelea kuwanga tu humu JF.
 
Umelifahamu hilo neon la Beberu wakati wa JPM. Hilo neno lilianza tangu mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha lilipoanzishwa na hayati Julius Kambarage Nyerere. Alipokuja Alhaji Mwinyi na kudanganywa wakalitifuta na Azimio la Zanzibar, usikariri vitu ambavyo huvifahamu. Wewe endeleza ushoga tu na hao unaowatumikia. sisi Tanzania tutaendelea kufyatua tu na kusonga mbele.
Binafsi nafahamu huo ni msamiati wa tangu awamu ya kwanza. Leo hii awamu ya tano zimepita awamu kadhaa hapo hilo neno halijasikika. Ila tangu huyo bwana aanze kuli_popularize nyie mabibi zake kila mtu beberu beberu . Mlikuwa wapi kulitumia hapo kabla. Na mnajiita wazalendo pia. Wazalendo uchwara nyie. Shoga ni wewe unayekariri kikasuku maneno ya bwana wako.
 
Thats what his Master wants.

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalieni kwenye Serikali zote ulimwenguni, nyinyi humu JF mbona mnawatukana viongozi na Serikali kila siku? Mkuki kwa nguruwe ehe? ….. Binadamu uchungu. Mtanyooka tu. Hii Serikali imejipambanua kwa utekelezaji wake wa yale yaliyomo kwenye Manifesto ya CCM na wananchi walio wengi wamewapa ridhaa (mandate) ya kutekeleza ilani hiyo ya CCM. Mtakonda tu Tanzania yenye neema ndio inatengenezwa. Heko JPM na timu nzima ya Serikali awamu ya 5 Hapa Kazi tu!
 
Umelifahamu hilo neon la Beberu wakati wa JPM. Hilo neno lilianza tangu mwaka 1967 wakati wa Azimio la Arusha lilipoanzishwa na hayati Julius Kambarage Nyerere. Alipokuja Alhaji Mwinyi na kudanganywa wakalitifuta na Azimio la Zanzibar, usikariri vitu ambavyo huvifahamu. Wewe endeleza ushoga tu na hao unaowatumikia. sisi Tanzania tutaendelea kufyatua tu na kusonga mbele.
Binafsi nafahamu huo ni msamiati wa tangu awamu ya kwanza. Leo hii awamu ya tano zimepita awamu kadhaa hapo hilo neno halijasikika. Ila tangu huyo bwana aanze kuli_popularize nyie mabibi zake kila mtu beberu beberu . Mlikuwa wapi kulitumia hapo kabla. Na mnajiita wazalendo pia. Wazalendo uchwara nyie. Shoga ni wewe unayekariri kikasuku maneno ya bwana wako.
 
Sasa mjinga hapo ni nani? JK aliitwa Vasco Da Gama, kuna mtu alimuuliza kwa nini anatumia? JPM anakusanya kodi ambayo kila mtu analipa, yeye ndio mkusanyaji mkuu kuhakikisha pesa zipo ukilala na njaa (ie ukiona Serikali haifanyi haki) lipo sanduku la kura, wacha kulialia kama shoga. JPM anakusanya na anatumia anavyoona kwa manufaa ya taifa na ndiye rais wewe kinyago endelea kuwanga tu humu JF.
Umemaliza kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Binafsi nafahamu huo ni msamiati wa tangu awamu ya kwanza. Leo hii awamu ya tano zimepita awamu kadhaa hapo hilo neno halijasikika. Ila tangu huyo bwana aanze kuli_popularize nyie mabibi zake kila mtu beberu beberu . Mlikuwa wapi kulitumia hapo kabla. Na mnajiita wazalendo pia. Wazalendo uchwara nyie. Shoga ni wewe unayekariri kikasuku maneno ya bwana wako.

''Beberu'' ni msamiati? Unafahamu kweli maana ya popularize? We kiazi kweli kubishana na shoga ni kupoteza wakati.
 
Haya ndio tunasema kukariri, leta ushahidi unawewesekaweweseka tu. A grown man with kids anashabikia kupumuliwa mgongoni what a shame!
Ushahidi alitakiwa alete yeye anayejipangia.matumizi atakavyo fedha za kodi za wananchi. Yeye ndiye anaweweseka. 1.5 trillion haina maelezo ya kueleweka haiwezi kuwa sawa. Kama nyie mnajua msaidie kujibu maana labda mlikuwa mnatumia naye nyie si mabibi zake. It is obvious wewe ni choko. Choko siku zote huhisi anayemkosoa basha wake anataka kumpindua. Wewe endelea kugongwa.
 
''Beberu'' ni msamiati? Unafahamu kweli maana ya popularize? We kiazi kweli kubishana na shoga ni kupoteza wakati.
Kumbe uko hapa kubishana! Afadhali umekiri hilo. Endeleza ukasuku wako kwa kila neno atakalotamka bwana wako.
 
Ushahidi alitakiwa alete yeye anayejipangia.matumizi atakavyo fedha za kodi za wananchi. Yeye ndiye anaweweseka. 1.5 trillion haina maelezo ya kueleweka haiwezi kuwa sawa. Kama nyie mnajua msaidie kujibu maana labda mlikuwa mnatumia naye nyie si mabibi zake. It is obvious wewe ni choko. Choko siku zote huhisi anayemkosoa basha wake anataka kumpindua. Wewe endelea kugongwa.

Utaendelea kusubiri hadi ufe nimekupa options hapo, sanduku la kura lipo kama hutaki kajinyonge.
 
Sasa mjinga hapo ni nani? JK aliitwa Vasco Da Gama, kuna mtu alimuuliza kwa nini anatumia? JPM anakusanya kodi ambayo kila mtu analipa, yeye ndio mkusanyaji mkuu kuhakikisha pesa zipo ukilala na njaa (ie ukiona Serikali haifanyi haki) lipo sanduku la kura, wacha kulialia kama shoga. JPM anakusanya na anatumia anavyoona kwa manufaa ya taifa na ndiye rais wewe kinyago endelea kuwanga tu humu JF.
Yeye analipa kodi kiasi gani mpaka ajipangie.anavyotaka.yeye kodi za wananchi wakati taratibu zipo!? Huyo unayemuabudu yeye mwenyewe haamini kwenye sanduku la kura otherwise Akwilina asingeuawa pale Kinondoni. Kweli machoko huwa hamuelewi. Mimi naweza kuwa mwanga lakini sio choko kama wewe.
 
Utaendelea kusubiri hadi ufe nimekupa options hapo, sanduku la kura lipo kama hutaki kajinyonge.
Mimi kufa haipo juu yako. After all kila mtu atakufa kwa wakati wake. Au wewe utaishi milele ukiendelea kuimba kikasuku beberu beberu na uzalendo uchwara!?
 
Kwa Africa ni SA pekee ambao wana treni ambayo inasafiri kwa mwendo mkubwa, kwa hiyo ni kitu cha kujivunia (160mph) hata Ulaya ni nchi chache sana wapo kwenye hiyo category. Maendeleo hayana chama.

China inafanya majaribio ya tren itakayo kuwa inakimbia 4000km/h.

Saa moja tu linaitosha kutoka dar kwenda mwanza na kurudi dar
 
Back
Top Bottom