Serikali yaagiza halmashauri kutengeneza vitambulisho maalum vya wazee kwa ajili ya huduma za afya

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Naibu waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameziagiza halmashauri zote nchini kutengeneza vitambulisho maalum vya wazee kwa ajili ya huduma za afya na kuwaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanakomesha mauaji ya vikongwe kwa kuwachukulia hatua wanaofanya matendo hayo bila kuangalia undugu.
Ameyasema hayo leo mkoani Dodoma kwenye maadhimisho ya siku ya wazee duniani

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom